Nkarahacha
Member
- Oct 3, 2023
- 25
- 47
Projekti hii ya kumkamata bosi wao ni sawa na kuwataka wajenge mlima mbadala wa Kilimanjaro.
Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa polisi msimtafute.
Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya watekaji.
Pia soma
Waanze kujikamata polisi wenyewe kwanzaProjekti hii ya kumkamata bosi wao ni sawa na kuwataka wajenge mlima mbadala wa Kilimanjaro.
wamefuata maelekezo yake kuwa wasitafutweAnaitwa Faris Baruan ni mwenyekiti uvccm mkoa wa kagera.
View attachment 3325227
Wakishavaa hayo manguo yao wanajifanya kama miungu watu.
Usikosee kuoa. Utajuta
Mkuu Pascal Mayalla
Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa polisi msimtafute.
Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya watekaji.
Pia soma
Kauli hiyo angetoa wa chama kingine, angeshafunguliwa kesi. Huuu sio utan ni double standardsHii nchi....na watani zangu wahaya nao wanajua kuchimba beat.
Nshomillleeee
Mwana CCM huwa anakamatika? Tena kiongozi wao? Haupo serious
Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa polisi msimtafute.
Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya watekaji.
Pia soma
Anajiandaa kugombea ubunge jimbo la Kyerwa. Wahaya kazi kwenu
Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa polisi msimtafute.
Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya watekaji.
Pia soma
Wanapenda kitongaWakimkamata nimekaa hapa!View attachment 3325260