King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Muly_Low anaipenda kazi yake ,hawezi kumgusa huyo mtu.
Labda Police wa YemenKwamba polisi akamate mwenyekiti wa uvccm, na wewe unaamini inatokea?
TunasingiziwaaaaaHii nchi....na watani zangu wahaya nao wanajua kuchimba beat.
Nshomillleeee
😀😀😀Kwamba polisi akamate mwenyekiti wa uvccm, na wewe unaamini inatokea?
😀Labda Police wa Yemen
Kyerwa ni wanyambo sio wahaya!Anajiandaa kugombea ubunge jimbo la Kyerwa. Wahaya kazi kwenu
Kwa mzee Pascal hayo siyo kwa maslahi ya Taifa.Mkuu Pascal Mayalla
Hivi huko mnapoenda kwenye press za muliro daily huwa mnamuuliza kuhusu huyu mtu?!
Au afika democracy unayohubiri?!
Wenzake jana wamepewa milioni za maslahi ya taifa.. balile, Islam na kibanda.Kwa mzee Pascal hayo siyo kwa maslahi ya Taifa.
Wacha mzee wangu avumilie tu kwa maslahi ya TaifaWenzake jana wamepewa milioni za maslahi ya taifa.. balile, Islam na kibanda.
Yeye sijui wamemsahau wapi?;
Mzee wa kwa Maslahi ya Taifa😀😀Kwa mzee Pascal hayo siyo kwa maslahi ya Taifa.
Kumbe na hakupata tuzo kwa maslahi ya Taifa 😂 😂 😂Mzee wa kwa Maslahi ya Taifa😀😀
Hatari sanaWakishavaa hayo manguo yao wanajifanya kama miungu watu.
Usikosee kuoa. Utajuta
Mwenyekiti wa UVCCM wa mkoa ni cheo kikubwa na nguvu zaidi ya RPC, labda mwenyekiti wa chama chao kitaifa atoe maelekezo hayo.
Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa polisi msimtafute.
Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya watekaji.
Pia soma