DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam tarehe 12/11/2025 majira ya saa 8:00 mchana eneo la Madale kwa Swai Kinondoni limekamata na linamhoji Charles Gisima Werema (miaka 47), mkazi wa Madale Flamingo Kinondoni kwa tuhuma za kuhamasisha na kuchochea uvunjifu wa amani katika mfumo wa vurugu jijini Dar es Salaam.
Hatua zaidi za kisheria zinaendelea kuzingatiwa dhidi ya mtuhumiwa.