Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
unampiga mzee wa miaka 66 kweli?
Kama anadaiwa alipe deni la mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unampiga mzee wa miaka 66 kweli?
Hadi wewe kada unalalamika ?Kwanini serikali hii inatumia nguvu kubwa kuficha ujinga?
Waziri ameua mchepuko kwenye ajali ikafichwafichwa, Kigwangala ametandika mtu nayo inafichwafichwa!!
Arusha kuna ufisadi wa mabilioni ya pesa lakini mkuu wa mkoa analindwa na serikali!
Uzee unaanzia miaka 70Huko Mwanza Vijana Wana umri wa miaka 66?
Hamisi katafuta laanaunampiga mzee wa miaka 66 kweli?
Weka picha tuioneSikia tu kitu kinaitwa Armored Cable ila bei yake ukitajiwa lazima ulie, watu wa viwandani wanajua gharama yake.
Taarifa za Majeruhi aliyepewa PF3 sizilitakiwa kutolewa na Dr aliye mtibu!? Au mi hapa hata sielewi!!
RPC Mtafungwa wa Mwanza amesema kijana Omary aliyedai alipigwa risasi mguuni na Dr Kigwangalla alipewa PF 3 na baada ya kufika hospital Uchunguzi wa kitabibu imeonesha hana jereha lolote na mfupa haujavunjik...
Kwenda police na kumshitaki tajiri,unakua umewapelekea deal police, tatizo la Police tajiri akisha toa mpunga game lazima police wakugeuzie! Ilishawai nikuta kitu Kama hicho,sema namshukuru Mungu alinivusha salama kwenye hilo sakata!!Maajabu hayataisha jamhuri hii ya Wahuni.
Hao waliuawa na Mbowe ili wasigombee uenyekiti wa Chama
Hivi unaelewa maana ya ile kauli kila Mtu ale kwa urefu wa kamba yake!? Siku hizi kila sector ifanyae yake na hakuna kuingiliana! Kwa hiyo hata ukipaza sauti utaambiwa hatuwezi kuingilia RPC akiwa anafanya kazi yake! Ndiyo imetoka hiyo!!MIMI NINGEKUWA HUYO MZEE NIKIFANYA INTERVIEW NA KUWAELEZA UMMA HATA KWA SIMU.
HAKI INAPINDISHWA SANA NCHII HII TENA WAZIWAZI INATISHA SANAA
Serikali haiweki nguvu kwa wasaliti wa nchi
Kibao kimegeuka kwa ommy guyRPC Mtafungwa wa Mwanza amesema kijana Omary aliyedai alipigwa risasi mguuni na Dr Kigwangalla alipewa PF 3 na baada ya kufika hospital Uchunguzi wa kitabibu imeonesha hana jereha lolote na mfupa haujavunjika
Hivyo Omary anashikiliwa na polisi na atafikishwa mahakamani
Aidha Uchunguzi wa Kesi zote mbili bado unaendelea na Dr Kigwangalla yuko nje kwa dhamana, amesema Kamanda Mutafungwa
Source: Ayo tv