Polisi: Kigwangalla hajampiga risasi mlinzi Jumanne

Kwamba huyo mtu ni mwendawazimu hadi akatoe taarfa za uongo polisi kuhusiana na mtu mwenye kufahamika kama kigwangala ?...
Polisi walitoaje PF3 ya mgonjwa wa jeraha kwenda kutibiwa bila kuona jeraha?
 
Uwekezaji Tanzania unataka moyo! Serikali wamejaza wezi na wala rushwa, na wananchi wenzako nao wezi!

Sitashangaa kama mbunge utu ulimtoka akajaribu kumtisha kwa kumfyatulia risasi.

Pengine haikumpata tu, ila sidhani kama amezusha uongo.
 
#HABARI Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa iliyokuwa ikisambaa mtandaoni kuhusu Mbunge wa Jimbo la Nzega vijijini na mmiliki wa kampuni ya Mwalujo Ginery, Hamisi Kigwangalla, kwa kudaiwa kumpiga risasi ya mguu wa kulia mlinzi wake Jumanne Omary Misango (66) ambapo jeshi hilo limebaini kuwa mlinzi huyo aliwadanganya polisi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, RPC Wilbrod Mutafungwa, imeeleza kuwa taarifa za awali zilionyesha kuwa kulikuwa na tukio la wizi wa mali katika kiwanda hicho ikiwemo wizi wa Gear Motor HP Radio made 02, Electrical Motor 05 na nyaya za umeme (Armored Cable za mita 25) ambapo mali zote hizo zinathamani ya Tsh 28,525,000.

“Mei 22, 2023 saa 11:00 jioni Kigwangalla alifika kiwandani kwake na kukatokea majibizano kati yake na Mlinzi wake, Mlinzi huyo alitoa taarifa Polisi kuwa alishambuliwa na kupigwa risasi mguu wa kulia, Askari walifika eneo la tukio na kufanya ukaguzi ambapo hakukuonekena viashiria vyovyote vya matumizi ya silaha ya moto,” amesema RPC Mutafungwa.

“Hata hivyo Jumanne alipewa PF3 na kwenda Hospitali ya Wilaya ya kwimba kwa uchunguzi wa kitabibu, Hamisi Kigwangala alihojiwa na kufunguliwa kesi ya shambulio na yupo nje kwa dhamana”

“Uchunguzi umebaini kuwa hakuna jeraha wala mvunjiko wowote wa mfupa katika mwili wa Jumanne na hivyo amefunguliwa jalada la uchunguzi kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kwa Afisa wa Polisi na kuzua taharuki kwa Jamii kuwa amepigwa risasi, upelelezi wa kesi hizo mbili unaendelea na utakapo kamilika Watuhumiwa wote wawili watafikishwa Mahakamani, Jeshi la Polisi linatoa rai kwa Wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi”, ameongeza
 
Kwamba huyo mtu ni mwendawazimu hadi akatoe taarfa za uongo polisi kuhusiana na mtu mwenye kufahamika kama kigwangala ?[emoji848][emoji848] Na hiyo pf3 alipewa ya kazi gani kama hakushambiliwa na kuumizwa?[emoji848][emoji848] Basi inabidi apimwe akili kama zimetimia sawa sawa, lakini ni kama kuna uvundo unafichwa hapa
Tuanze n askari aliyetoa PF3
 
Yote yanamwisho.
Ipo siku mtu atajaribu kuficha mkaa unaofuka moshi kwenye sehemu za mwili wake na itashindikana na atautoa mwenyewe.
Ipo siku tutachoka pia
 
unampiga mzee wa miaka 66 kweli?
Kuna watu wana maudhi sana! Wamejawa na USENGEUSENGE tu! Kauli za kujiamini na kiburi eti kigezo chake amekuzidi umri... na anajinadi kwa watu elimu, vyeo na utajiri wako kwake ni bure tu humtishi! Alafu ukizingatia kashakufanyia (USENGE!) WIZI NA UTAPELI

Upande wangu SAWASAWA! kuna vizee vinatafutaga umaarufu kupitia watu maarufu waonekane miamba.

KONGOLE KWAKO BWANA KIGWANGALA👍🏾
 
Kwann waliompiga risasi Tundu Lissu mpala leo hawajakamatwa?

Yupo wapi Anzory gwanda na Ben sanane?

Kwann MAKONDA/ BASHITE alivamia kituo cha habari sote tukiona na hajachukulia hatua yyte?

Kwann waliompiga risasi Akwilin hawajachukuliwa hatua yyte mpaka leo?

Kwann SAA BAYA aliwakata watu masikio taarifa zilifika kwa magufuli na aliachwa aendelee kutesa watu?

Haya mambo wewe uliyatetea na kuwatukana watu. Huu uchungu unaoupata leo unatoka wqpi? Wale waliouwawa enzi za magufuli hawakuwa watu?

Kaa kwa kutulia SUKUMA GANG KAMPIGA CHUMA SUKUMA GANG WEWE UNAUMIA? TUSEME AMEJIPIGA RISASI MWENYEWE
Hukijui unachokipayuka na kukilalamikia hapa. Nikuulize swali la kizushi ingawa ni la mbali na la miaka mingi...

KWANINI MPAKA LEO WALIOMPIGA RISASI NA KUMUUA J.F.K ALIYEKUWA RAIS WA MAREKANI HAWAJAKAMATWA MPAKA LEO?! JE! WALIKUWA KINA NANI?!

UKISHAPATA MAJIBU YALETE BONGO. UTAKAA KIMYA.
 
Kama mzee amepigwa risasi na wanaficha ukweli wote wajue hawapo salama.

Kwanini mzee aseme amepigwa risasi na sio kweli kwa manufaa ya nani ili iweje???
Endeleeni kuficha ujinga wenu itajulikana tu.
 
Polisi Mkoani Mwanza wametoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa mitandaoni kumhusu Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini na Mmiliki wa Kiwanda cha kuchakata Pamba kitwacho Mwalujo Ginery kilichopo Kijiji cha Mwalujo, Wilaya ya Kwimba, Hamisi Kingwangala kudaiwa kumpiga risasi Mlinzi wake Jumanne Omary Misango (66) katika mguu wa kulia, ambapo imebainika Jumanne hakupigwa risasi bali haliwaongopea Polisi.

RPC wa Mwanza, Wilbrod Mutafungwa amesema taarifa za awali zinaonesha kulitokea wizi wa mali kiwandani ikiwemo Gear Motor HP Radio made 02, Electrical Motor 05 na nyaya za umeme @ Armored Cable Mita 25 vyote vikiwa na thamani ya Tsh 28,525,000.

“Mei 22, 2023 saa 11:00 jioni Kigwangala alifika kiwandani kwake na kukatokea majibizano kati yake na Mlinzi wake, Mlinzi huyo alitoa taarifa Polisi kuwa alishambuliwa na kupigwa risasi mguu wa kulia, Askari walifika eneo la tukio na kufanya ukaguzi ambapo hakukuonekena viashiria vyovyote vya matumizi ya silaha ya moto”

“Hata hivyo Jumanne alipewa PF3 na kwenda Hospitali ya Wilaya ya kwimba kwa uchunguzi wa kitabibu, Hamisi Kigwangala alihojiwa na kufunguliwa kesi ya shambulio na yupo nje kwa dhamana”

“Uchunguzi umebaini kuwa hakuna jeraha wala mvunjiko wowote wa mfupa katika mwili wa Jumanne na hivyo amefunguliwa jalada la uchunguzi kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kwa Afisa wa Polisi na kuzua taharuki kwa Jamii kuwa amepigwa risasi, upelelezi wa kesi hizo mbili unaendelea na utakapo kamilika Watuhumiwa wote wawili watafikishwa Mahakamani, Jeshi la Polisi linatoa rai kwa Wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi”

Credit: MillardAyo
Isee natangaza rasmi kupigana kwa kila mbinu hata kufa kuhakikisha napata madara makubwa kwenye hiki chama.. keki ya taifa hili inaliwa huko isee na wapo juu ya sheria.
Why not me!
 
Sasa kama huyo Kigwangala hajamdhuru mlinzi wake, kwanini na yeye anatarajiwa kufikishwa mahakamani baada ya uchunguzi kukamilika?
Dogo kafunguliwa jalada la uchunguzi kama shinikizo la kuondoa kesi ya msingi.

CCM imejaa majambazi na wauaji
 
Halafu mtakuja kuambiwa kuwa mhusika yaani huyo mtendewa kajinyonga kwa soksi mahabusu.....
 
Polisi Mkoani Mwanza wametoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa mitandaoni kumhusu Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini na Mmiliki wa Kiwanda cha kuchakata Pamba kitwacho Mwalujo Ginery kilichopo Kijiji cha Mwalujo, Wilaya ya Kwimba, Hamisi Kingwangala kudaiwa kumpiga risasi Mlinzi wake Jumanne Omary Misango (66) katika mguu wa kulia, ambapo imebainika Jumanne hakupigwa risasi bali haliwaongopea Polisi.

RPC wa Mwanza, Wilbrod Mutafungwa amesema taarifa za awali zinaonesha kulitokea wizi wa mali kiwandani ikiwemo Gear Motor HP Radio made 02, Electrical Motor 05 na nyaya za umeme @ Armored Cable Mita 25 vyote vikiwa na thamani ya Tsh 28,525,000.

“Mei 22, 2023 saa 11:00 jioni Kigwangala alifika kiwandani kwake na kukatokea majibizano kati yake na Mlinzi wake, Mlinzi huyo alitoa taarifa Polisi kuwa alishambuliwa na kupigwa risasi mguu wa kulia, Askari walifika eneo la tukio na kufanya ukaguzi ambapo hakukuonekena viashiria vyovyote vya matumizi ya silaha ya moto”

“Hata hivyo Jumanne alipewa PF3 na kwenda Hospitali ya Wilaya ya kwimba kwa uchunguzi wa kitabibu, Hamisi Kigwangala alihojiwa na kufunguliwa kesi ya shambulio na yupo nje kwa dhamana”

“Uchunguzi umebaini kuwa hakuna jeraha wala mvunjiko wowote wa mfupa katika mwili wa Jumanne na hivyo amefunguliwa jalada la uchunguzi kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kwa Afisa wa Polisi na kuzua taharuki kwa Jamii kuwa amepigwa risasi, upelelezi wa kesi hizo mbili unaendelea na utakapo kamilika Watuhumiwa wote wawili watafikishwa Mahakamani, Jeshi la Polisi linatoa rai kwa Wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi”

Credit: MillardAyo
...Wameishamfishia mwenao Uhalifu Wake ! Kuna siku yataisha TU haya....!
 
mumeamua kumkandamiza mlimzi kwa kua Kigwangala ni Waziri eh ?

mimi nilishasema nikikuta Polisi anapigana na Chatu namsaidia Chatu.

K…nge weusi hawa
 
Usipokua na pesa hii nchi ni sawa na takataka tu wenye pesa watakukanyaga watakavyo na hamna kitu unaweza fanya
 
Polisi Mkoani Mwanza wametoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa mitandaoni kumhusu Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini na Mmiliki wa Kiwanda cha kuchakata Pamba kitwacho Mwalujo Ginery kilichopo Kijiji cha Mwalujo, Wilaya ya Kwimba, Hamisi Kingwangala kudaiwa kumpiga risasi Mlinzi wake Jumanne Omary Misango (66) katika mguu wa kulia, ambapo imebainika Jumanne hakupigwa risasi bali haliwaongopea Polisi.

RPC wa Mwanza, Wilbrod Mutafungwa amesema taarifa za awali zinaonesha kulitokea wizi wa mali kiwandani ikiwemo Gear Motor HP Radio made 02, Electrical Motor 05 na nyaya za umeme @ Armored Cable Mita 25 vyote vikiwa na thamani ya Tsh 28,525,000.

“Mei 22, 2023 saa 11:00 jioni Kigwangala alifika kiwandani kwake na kukatokea majibizano kati yake na Mlinzi wake, Mlinzi huyo alitoa taarifa Polisi kuwa alishambuliwa na kupigwa risasi mguu wa kulia, Askari walifika eneo la tukio na kufanya ukaguzi ambapo hakukuonekena viashiria vyovyote vya matumizi ya silaha ya moto”

“Hata hivyo Jumanne alipewa PF3 na kwenda Hospitali ya Wilaya ya kwimba kwa uchunguzi wa kitabibu, Hamisi Kigwangala alihojiwa na kufunguliwa kesi ya shambulio na yupo nje kwa dhamana”

“Uchunguzi umebaini kuwa hakuna jeraha wala mvunjiko wowote wa mfupa katika mwili wa Jumanne na hivyo amefunguliwa jalada la uchunguzi kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kwa Afisa wa Polisi na kuzua taharuki kwa Jamii kuwa amepigwa risasi, upelelezi wa kesi hizo mbili unaendelea na utakapo kamilika Watuhumiwa wote wawili watafikishwa Mahakamani, Jeshi la Polisi linatoa rai kwa Wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi”

Credit: MillardAyo

Eeeh, jamani, dunia hii maskini kupata haki yake kitu adimu sana
 
Back
Top Bottom