Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Huyu punda hajielewi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria za nchi ya Mara ama ni hizi hiz za hapa kwetu Tanzania?Kamanda wa POLICE mkoa anatarajiwa kuzifahamu sheria na kuzitafsiri kwa weledi pasina mihemko au makengeza.Vipi?Hawa ndio Polisi wetu na hii ndio Tanzania chini ya Raisi Samia.
Jisomeni wenyewe maneno haya ya RPC wa Mkowa wa Mara:
View attachment 1923330
Hiyo ni sehemu ya ila iliyokuwa chini ya sgang.Sheria za nchi ya Mara ama ni hizi hiz za hapa kwetu Tanzania?Kamanda wa POLICE mkoa anatarajiwa kuzifahamu sheria na kuzitafsiri kwa weledi pasina mihemko au makengeza.Vipi?
Inaonekana wazi kuwa CCM imekosa ushawishi wa wananchi, kwa hiyo tegemeo lao pekee lililobaki ni kubebwa na vyombo vya dolaHivi sisiyemu huwa wanahofia nini wapinzani kukusanyika ikiwa wao ndio wamiliki wa polisi, tume ya uchaguzi, na viongozi waandamizi.
Inaonekana wazi kuwa CCM imekosa ushawishi wa wananchi, kwa hiyo tegemeo lao pekee lililobaki ni kubebwa na vyombo vya dola
Hii comment zilipendwa sijui ulikuwa gerezani?Kwani da'Mange anasemaje?
Utabaki kusema hivyo hivyo lakini jamaa zako ndio wameshapigwa pini.Hii comment zilipendwa sijui ulikuwa gerezani?
Ona kima hiiiKwani da'Mange anasemaje?
Hata kwa muonekano wake tu unajua wazi kichwa ni fuvu tu hakuna ubongo ndaniHawa ndio Polisi wetu na hii ndio Tanzania chini ya Raisi Samia.
Jisomeni wenyewe maneno haya ya RPC wa Mkoa wa Mara:
View attachment 1923330
Aweke na hivyo vifungu vya sheria vilivyo vunjwaHawa ndio Polisi wetu na hii ndio Tanzania chini ya Raisi Samia.
Jisomeni wenyewe maneno haya ya RPC wa Mkoa wa Mara:
View attachment 1923330
Unamkataa dada wa taifa. Vipi tena?Ona kima hiii
Huwo ugonjwa wa kuingiliwa ukutoke, maana ni laanaKwani da'Mange anasemaje?
Sasa in rasmi wameweka wazi kwamba wao ni wanaccm na siyo polisi wakulinda RAIA na mali zaoHawa ndio Polisi wetu na hii ndio Tanzania chini ya Raisi Samia.
Jisomeni wenyewe maneno haya ya RPC wa Mkoa wa Mara:
View attachment 1923330
Halafu mnakuja kutamba kuwa cdm haikubaliki kwa wananchi ?!.Utabaki kusema hivyo hivyo lakini jamaa zako ndio wameshapigwa pini.
Sina ugonjwa wowote ule.Huwo ugonjwa wa kuingiliwa ukutoke, maana ni laana
Kamanda tuliza hasira.Halafu mnakuja kutamba kuwa cdm haikubaliki kwa wananchi ?!.
Wakitaka kukutana wananchi mnapata wazimu !!. Shame on you Ccm.