Polisi: Kufanyia kongamano la Katiba ni kuvunja Katiba na sheria za nchi

Polisi: Kufanyia kongamano la Katiba ni kuvunja Katiba na sheria za nchi

Hii inathibitisha kuwa Mbowe alifaniliwa sana kupenyeza matendo ya uovu na kihalifu kwa wafuasi wake ktk kipindi chake chote akiwa Mwenyekiti wa Chadema.
Tabia za wanachadema zinazo onekana leo hii kama vile; Uhalifu, Ujambazi, Uzaji wa madawa ya kulevya, Kupanga njama za kuuwa watu, kupanga njama za kutenda uhalifu, kujiteka, kuzua taharuki ktk jamii, kueneza uvumi ktk mitandao n.k zote hizo zilikuwa jitihada za Mwenyekiti wao.
 
Hivi huyu huyo wazazi wake wako wapi? Hao wazazi naona walizaa toto la hovyo hovyo.
 
Sheria za nchi ya Mara ama ni hizi hiz za hapa kwetu Tanzania?Kamanda wa POLICE mkoa anatarajiwa kuzifahamu sheria na kuzitafsiri kwa weledi pasina mihemko au makengeza.Vipi?
Halafu jitu lenye akili kidogo hivi unaweza kuambiwa lilikuwa miongoni mwa waliochunguza mauaji yaliyofanywa na Hamza!! Hapo kutakuwa na uchunguzi kweli?
 
CHADEMA nendeni mahakamani acheni kulialia,tumechoka na haya ya polisi,mbona mnao mawakili wasomi shida ipo wapi
Kwa nini usishauri pia, tuwe na polisi wenye akili angalao kiwango cha akili ya kawaida?
 
Hii inathibitisha kuwa Mbowe alifaniliwa sana kupenyeza matendo ya uovu na kihalifu kwa wafuasi wake ktk kipindi chake chote akiwa Mwenyekiti wa Chadema.
Tabia za wanachadema zinazo onekana leo hii kama vile; Uhalifu, Ujambazi, Uzaji wa madawa ya kulevya, Kupanga njama za kuuwa watu, kupanga njama za kutenda uhalifu, kujiteka, kuzua taharuki ktk jamii, kueneza uvumi ktk mitandao n.k zote hizo zilikuwa jitihada za Mwenyekiti wao.
Huwezi kuthibitisha tuhuma hata moja hapo gebwe we .
 
Chadema yawapiga chenga ya mwili jeshi la magaidi na kufanya Kongamano la #KatibaMpya.

Back
Top Bottom