HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Mar 9, 2024 #21 Hao wanatusaidia kuondoa vibaka maana hawacheki na kima
Zabron Hamis JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,093 Reaction score 11,377 Mar 9, 2024 #22 MamaSamia2025 said: Unadhani hiyo amani na uhuru wa wewe kuandika uzi umepatikana hivihivi? Acha kukosoa mambo usiyoyajua. Watu wapo kazini kuhakikisha usalama. Acha kuingilia yasiyokuhusu Click to expand... Wewe ni pimbi sana. Ameuliza ili aelimishwe, unaleta mipasho. Kama hujui kitu bora kukaa kimya
MamaSamia2025 said: Unadhani hiyo amani na uhuru wa wewe kuandika uzi umepatikana hivihivi? Acha kukosoa mambo usiyoyajua. Watu wapo kazini kuhakikisha usalama. Acha kuingilia yasiyokuhusu Click to expand... Wewe ni pimbi sana. Ameuliza ili aelimishwe, unaleta mipasho. Kama hujui kitu bora kukaa kimya
Zabron Hamis JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,093 Reaction score 11,377 Mar 9, 2024 #23 relis said: Majungu tu haya sijawahi ona tukio la aina hiyo na ukiona hivyo yupo na mwenzake aliyevaa uniform au wakiwa bila uniform basi wapo na gari lao. Click to expand... Ona hii nge
relis said: Majungu tu haya sijawahi ona tukio la aina hiyo na ukiona hivyo yupo na mwenzake aliyevaa uniform au wakiwa bila uniform basi wapo na gari lao. Click to expand... Ona hii nge
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 14,588 Reaction score 32,361 Mar 9, 2024 #24 Zabron Hamis said: Wewe ni pimbi sana. Ameuliza ili aelimishwe, unaleta mipasho. Kama hujui kitu bora kukaa kimya Click to expand... Wewe kama mwanangu wa kambo Anza kwanza kumwambia mamako awe anakaa kimya kwasababu huwa ana kelele sana nikiwa naye.
Zabron Hamis said: Wewe ni pimbi sana. Ameuliza ili aelimishwe, unaleta mipasho. Kama hujui kitu bora kukaa kimya Click to expand... Wewe kama mwanangu wa kambo Anza kwanza kumwambia mamako awe anakaa kimya kwasababu huwa ana kelele sana nikiwa naye.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 9, 2024 #25 Hatari sana... Cc: Mahondaw