Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
sawa....na mashahidi wanatoka wapi sasa na hali ya kuwa walalamikaji hawataki kesi....mimi naona kama upotezaji wa muda tuUkitenda jinai umeikosea Jamhuri
Hapo lazima aende mahakamani atapata haki yake huko
Atashitakia na Jamhuri
Wakuu kuna jamaa yangu alipatwa na tatizo wakawa wamempeleka polisi, kule polisi akapata dhamana kwa sababu kosa lake lilikuwa lina dhamana, akaenda kuzungumza na wale waliokuwa wanamshitaki na wakawa wameelewana kuwa mambo yasiendelee mbele zaidi yaani kufika mahakamani.
Sasa changamoto iliyopo ni polisi kukomaa hasa yule mpelelezi aliyepewa jarada (file), kesi kaipeleka mahakamani na bado anamkomalia jamaa afike mahakamani, wanaomshitaki jamaa hawataki kesi wao wanapigiwa simu na polisi za vitisho ili wafike mahakamani, sielewi shida ni nini?🙃
Polisi wanaitafuta kwa nguvu zote aisee.
Kesi ipo maana anayeshitaki ni Jamhuri..... you might be compelled to appear before the courtHAMNA KESI HAPO
Ng'wizukulu Mgikoro...Wakuu kuna jamaa yangu alipatwa na tatizo wakawa wamempeleka polisi, kule polisi akapata dhamana kwa sababu kosa lake lilikuwa lina dhamana, akaenda kuzungumza na wale waliokuwa wanamshitaki na wakawa wameelewana kuwa mambo yasiendelee mbele zaidi yaani kufika mahakamani.
Sasa changamoto iliyopo ni polisi kukomaa hasa yule mpelelezi aliyepewa jarada (file), kesi kaipeleka mahakamani na bado anamkomalia jamaa afike mahakamani, wanaomshitaki jamaa hawataki kesi wao wanapigiwa simu na polisi za vitisho ili wafike mahakamani, sielewi shida ni nini?🙃
Polisi wanaitafuta kwa nguvu zote aisee.
Je, ni kesi ya jinai?Wakuu kuna jamaa yangu alipatwa na tatizo wakawa wamempeleka polisi, kule polisi akapata dhamana kwa sababu kosa lake lilikuwa lina dhamana, akaenda kuzungumza na wale waliokuwa wanamshitaki na wakawa wameelewana kuwa mambo yasiendelee mbele zaidi yaani kufika mahakamani.
Sasa changamoto iliyopo ni polisi kukomaa hasa yule mpelelezi aliyepewa jarada (file), kesi kaipeleka mahakamani na bado anamkomalia jamaa afike mahakamani, wanaomshitaki jamaa hawataki kesi wao wanapigiwa simu na polisi za vitisho ili wafike mahakamani, sielewi shida ni nini?🙃
Polisi wanaitafuta kwa nguvu zote aisee.
Kama alifanya jinai,mshtaki ni Jamuhuri.Hao walalamikaji ni mashahidi tu.Ongeeni na huyo mpelelezi mpatie pesa ili aende mahakamani atie Nolle au withdrawal as per CPA sect.91 au withdrawal sect.98.Usipofanya hivyo huyu nduguyo atahukumiwa.Wakuu kuna jamaa yangu alipatwa na tatizo wakawa wamempeleka polisi, kule polisi akapata dhamana kwa sababu kosa lake lilikuwa lina dhamana, akaenda kuzungumza na wale waliokuwa wanamshitaki na wakawa wameelewana kuwa mambo yasiendelee mbele zaidi yaani kufika mahakamani.
Sasa changamoto iliyopo ni polisi kukomaa hasa yule mpelelezi aliyepewa jarada (file), kesi kaipeleka mahakamani na bado anamkomalia jamaa afike mahakamani, wanaomshitaki jamaa hawataki kesi wao wanapigiwa simu na polisi za vitisho ili wafike mahakamani, sielewi shida ni nini?[emoji854]
Polisi wanaitafuta kwa nguvu zote aisee.
Nani kasemaHAMNA KESI HAPO
Unampoteza wewe.Huyo mpelelezi anataka pesa ya bure.
Mwambieni atosheke na salary yake au akadange kuongeza kipato.
naomba ushauri wakuu
Ni kesi ya aina gani? Nyosha maelezo ushauriwenaomba ushauri wakuu