Polisi kumng'ang'ania mtuhumiwa na hali ya kuwa walalamikaji hawana mpango na kesi tatizo ni nini?

Waende tu mahakamani wakapindishe ushahidi biashara inaisha mapema kabisa na kesi kufutwa.

Huyo mpelelezi anataka rushwa sasa alivyoona jamaa wameyamaliza pasipo yeye kupata chochote ame mind.
 
Kama alifanya jinai,mshtaki ni Jamuhuri.Hao walalamikaji ni mashahidi tu.Ongeeni na huyo mpelelezi mpatie pesa ili aende mahakamani atie Nolle au withdrawal as per CPA sect.91 au withdrawal sect.98.Usipofanya hivyo huyu nduguyo atahukumiwa.
Atahukumiwa bila ushahidi? Hao wenye kesi yao waende mahakamani wakatoe ushahidi wenye kutilia shaka shtaka biashara inaisha mapema.

Hakuna mtu anahukumiwa pasipo ushahidi usio na shaka.
 
Noti inatakiwa hapo....kuingia polisi ni bure ila kutoka sasa ndio kimbembe
 
Hakuna sheria inayo mlazimisha mtu kutoa ushahid mahakaman ndio maana shahadi anawez kutofka mahakaman na asichukuliwe sheria /adhabu yoyote zid yake

Kama kesi ni ya jamuhuri bas wao watafute mashahid ambao wanahiyar kutoa ushahid


Polis kuingia bure kutoka na Ela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…