LGE2024 Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Shahawa zilizokuzaa heri zingemwagwa chooni tu
 
Ujinga mtupu,watupe ripoti ya watu waliotekwa kwanza,na wauaji wa Kibao ni kina nani ndio tuendelee na mengine,vinginevyo ni kutafuta sifa tu
 
Onyo kWa Wana ccm watakaotahiriwa
 
Lucas , ukimuona mtu anadhulumu muonee huruma sana na usimuone mjanja, furaha ndogo Majuto makubwa twendako
 
Katika Qur'an, kuna aya zinazohimiza kufanya haki na uadilifu kwa watu wote, hata kwa wale ambao huenda huna upendo au uhusiano mzuri nao. Katika Surat Al-Ma'idah (5:8), Allah anasema:

"Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa uadilifu kwa ajili ya Allah, mkishuhudia kwa uadilifu. Wala chuki ya watu isikufanyeni kutotenda uadilifu. Tendeni uadilifu; huo ndio unaokurubisheni mno na uchamungu. Na mcheni Allah; hakika Allah ni Mwenye khabari za yote myatendayo."

Aya hii inasisitiza umuhimu wa kutenda haki na kuwa na uadilifu, hata kama kuna chuki au kutopendana. Haki ni lazima itendeke kwa kila mtu ili kufikia uchamungu na radhi za Allah.
 
Takukuru wamefurushwa kama mbwa koko huko Arusha waende kuwasaidia!
 
Bado unafuatilia na kushiriki mijadala ya kisiasa ?si ulisema umeacha siasa?
Katika Qur'an, kuna aya zinazohimiza kufanya haki na uadilifu kwa watu wote, hata kwa wale ambao huenda huna upendo au uhusiano mzuri nao. Katika Surat Al-Ma'idah (5:8), Allah anasema:

"Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa uadilifu kwa ajili ya Allah, mkishuhudia kwa uadilifu. Wala chuki ya watu isikufanyeni kutotenda uadilifu. Tendeni uadilifu; huo ndio unaokurubisheni mno na uchamungu. Na mcheni Allah; hakika Allah ni Mwenye khabari za yote myatendayo."

Aya hii inasisitiza umuhimu wa kutenda haki na kuwa na uadilifu, hata kama kuna chuki au kutopendana. Haki ni lazima itendeke kwa kila mtu ili kufikia uchamungu na radhi za Allah.
NAKUPENI MANENO MAZURI AMBAPO KTK VIKAO VYENU VYA SIASA HAMPEANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…