Mama.ako!Wewe endelea kujifanya kichwa ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama.ako!Wewe endelea kujifanya kichwa ngumu
Ona huyu 🐷Utakufa wewe
Kwani hiii habar uliyoileta inaeleza nini? Bila ya figisu hamwezi kushindana kwa lolote.Kwani wapi umesikia tukitegemea polisi kushinda Uchaguzi
Ndugu zangu Watanzania,
Hiii ndio taarifa ya jeshi la Polisi Nchini.ikitoa onyo kali kwelikweli kwa chama cha siasa ambacho baada ya wagombea wake kukatwa katika hatua za uteuzi kinapanga kuwahamasisha wafuasi na wanachama wake kufanya vurugu, kuharibu ofisi za serikali na uharibifu mwingine mbalimbali.
Ambapo jeshi hilo la Polisi Nchini Limetaka chama ambacho hakijaridhishwa na mchakato wa uteuzi kifuate sheria,kanuni,taratibu na miongozi mbalimbali kama inavyoelekezwa na sheria za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Jeshi hilo ambalo linatajwa kuwa jeshi bora katika ukanda huu wa Afrika mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara.limesema kuwa halitasita kuchukua hatua kali sana kwa yeyote yule atakaye kiuka taratibu na sheria kwa kufanya vuruguView attachment 3147340
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
KokorikoooooKazi imeanza

If I were you, I would fear even my own shadow.Yule DC aliekiri kuwa wanafanya uharamia maporini aliishia tu kufukuzwa ukuu wa wilaya ila Polisi sijui hata kama waliwahi kumuita na kumuhoji.
Better were colonial days.
Kwa mfano wanasema wagombea wote wameondolewa sasa hapo wanashiriki vipi wakati hawana tayari wagombea, kimsingi hapo hawana ushiriki wa haina yoyoteChadema hao ,Wana option mbili tu kushiriki au kutoshiriki,waache upuuzi ,wasiposhiriki wao act,chauma,ADC nk vitashiriki
Kumbe yaliyofanyika ya kuwaengua wagombea wa upinzani ni sawa? Kumbe taratibu hazijakiukwa?View attachment 3147336
TAARIFA KWA UMMA
Baada ya uteuzi wa Wagombea wa nafasi za Uongozi katika nafasi mbalimbali za Serikali za Mitaa, kuna Chama cha Siasa kimepanga na kinahamasisha wafuasi wao kwa njia mbalimbali ikiwepo kukutana, kupigiana simu, kutumiana ujumbe na kwa kutumia makundi sogozi, kudhuru watu na kuharibu Ofisi za Serikali.
Jeshi la Polisi linaendelea kuwafuatilia kwa karibu ili wakamatwe na hatua nyingine za kisheria zifuate.
Kupata matukio mengine ya kiusalama wakati wa uchaguzi bofya: LIVE - Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Jeshi la Polisi linatoa wito kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wafuasi wao kama wanaona kuna kasoro katika mchakato wa uteuzi wa wagombea wao, wafuate sheria na kanuni zinavyoelekeza na si kupanga na kuhamasishana kufanya uhalifu.
Aidha, linatoa onyo kali kwa yeyote anayepanga na kuhamasisha uhalifu wa aina hiyo kuacha mara moja.
Vinginevyo hatupo tayari kumvumilia mtu, kikundi cha watu au chama chochote cha Siasa kinachopanga uhalifu wowote ili kutaka kuvuruga amani ya nchi, kwani hatuta muonea muhali tutamchukulia hatua kali kwa mujibu wa sheria za nchi.
Tuna wahakikishia wananchi kuwa, Jeshi la Polisi limejiimarisha vizuri kuhakikisha kuwa wanafanya shughuli zao za kujiletea maendeleo na kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika mazingira yenye amani, utulivu na usalama hivyo wasiwe na hofu ya aina yeyote.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP Msemaji wa Jeshi la Polisi Dodoma, Tanzania.
Jeshi la polisi na CCM wote ni madhalimu. Uhusiono wao ni wa aina ya symbiosis ambao kila mmoja ananufaika kutoka kwa mwenzake. Akianguka CCM na jeshi la polisi linakuwa mashakani maana madhambi makubwa yatajulikana. Haya ni madhalimu mawili yanayolinda ingawa siku zao ziko numbered. Ni kanuni ya asili kuanguka kwa haya madhalimuView attachment 3147336
TAARIFA KWA UMMA
Baada ya uteuzi wa Wagombea wa nafasi za Uongozi katika nafasi mbalimbali za Serikali za Mitaa, kuna Chama cha Siasa kimepanga na kinahamasisha wafuasi wao kwa njia mbalimbali ikiwepo kukutana, kupigiana simu, kutumiana ujumbe na kwa kutumia makundi sogozi, kudhuru watu na kuharibu Ofisi za Serikali.
Jeshi la Polisi linaendelea kuwafuatilia kwa karibu ili wakamatwe na hatua nyingine za kisheria zifuate.
Kupata matukio mengine ya kiusalama wakati wa uchaguzi bofya: LIVE - Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Jeshi la Polisi linatoa wito kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wafuasi wao kama wanaona kuna kasoro katika mchakato wa uteuzi wa wagombea wao, wafuate sheria na kanuni zinavyoelekeza na si kupanga na kuhamasishana kufanya uhalifu.
Aidha, linatoa onyo kali kwa yeyote anayepanga na kuhamasisha uhalifu wa aina hiyo kuacha mara moja.
Vinginevyo hatupo tayari kumvumilia mtu, kikundi cha watu au chama chochote cha Siasa kinachopanga uhalifu wowote ili kutaka kuvuruga amani ya nchi, kwani hatuta muonea muhali tutamchukulia hatua kali kwa mujibu wa sheria za nchi.
Tuna wahakikishia wananchi kuwa, Jeshi la Polisi limejiimarisha vizuri kuhakikisha kuwa wanafanya shughuli zao za kujiletea maendeleo na kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika mazingira yenye amani, utulivu na usalama hivyo wasiwe na hofu ya aina yeyote.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP Msemaji wa Jeshi la Polisi Dodoma, Tanzania.
Jeshi la polisi limeanza kupata amri toka CCM.View attachment 3147336