LGE2024 Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
 
Nawasihi ndugu zangu Polisi, tendeni haki japo kinafiki tu.
Je, yule DC aliyejitangaza wazi wazi kuwa huwa anafanya maovu huko msituni nyakati za Uchaguzi mlimchukulia hatua gani?

Jitahidini sana kutenda haki na haki hiyo ionekane waziwazi kwa Watanzania wote. Jueni kuna siku kila mmoja kwa nafasi yake atakuja kujutia madhambi yake aliyoyafanya alipokuwa na cheo fulani.
 
Hahahaaa nicheke mie waraka Utopolo kwa namna ya Utopolo daah Cuba sio mchezo
 
 

Attachments

  • IMG-20241108-WA0057.jpg
    117.6 KB · Views: 3
Yule DC aliekiri kuwa wanafanya uharamia maporini aliishia tu kufukuzwa ukuu wa wilaya ila Polisi sijui hata kama waliwahi kumuita na kumuhoji.

Better were colonial days.
If I were you, I would fear even my own shadow.

Such a mindset will only keep you locked up in a self created prison, customary designed by and for YOU.
 
Kumbe yaliyofanyika ya kuwaengua wagombea wa upinzani ni sawa? Kumbe taratibu hazijakiukwa?
 
Jeshi la polisi na CCM wote ni madhalimu. Uhusiono wao ni wa aina ya symbiosis ambao kila mmoja ananufaika kutoka kwa mwenzake. Akianguka CCM na jeshi la polisi linakuwa mashakani maana madhambi makubwa yatajulikana. Haya ni madhalimu mawili yanayolinda ingawa siku zao ziko numbered. Ni kanuni ya asili kuanguka kwa haya madhalimu
 
Jeshi la polisi limeanza kupata amri toka CCM.
Kwa hali hii sioni sababu ya kwenda kupiga kura kwani kuna viashiria vya polisi kuhakikisha wale watoto wa shule wanalindwa wapige kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…