Pre GE2025 Polisi kushindwa kuchukua hatua dhidi ya aliyekuwa DC wa Longido, wanatupatia ujumbe gani?

Pre GE2025 Polisi kushindwa kuchukua hatua dhidi ya aliyekuwa DC wa Longido, wanatupatia ujumbe gani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sambamba na POLICE taasisi nyingi zilitakiwa ziwe zimechukua hatua dhidi ya hizi kauli za kudhoofisha demokrasia ya Tanzania. Lakini wengi wamekaa kimya aidha sababu ya umbumbu au labda tuseme meno ya Mbwa hayang'atani. Yule aliyedokeza kuhusu mbinu za porini za kushinda uchaguzi usikute ni retired and recycled "mtu asiyejulikana", anyway, Karma judges every action.
 
Sambamba na POLICE taasisi nyingi zilitakiwa ziwe zimechukua hatua dhidi ya hizi kauli za kudhoofisha demokrasia ya Tanzania. Lakini wengi wamekaa kimya aidha sababu ya umbumbu au labda tuseme meno ya Mbwa hayang'atani. Yule aliyedokeza kuhusu mbinu za porini za kushinda uchaguzi usikute ni retire and recycled "mtu asiyejulikana", anyway, Karma judges every action.
Taasisi zipi hizo, tatizo nyie mnatumia akili nyingi sana bila sababu, wakati hao mnao wajadili wameahirisha kufikiri kwa nafsi zao
 
Taasisi zipi hizo, tatizo nyie mnatumia akili nyingi sana bila sababu, wakati hao mnao wajadili wameahirisha kufikiri kwa nafsi zao
Kwahiyo wanafikiri kwa nafsi za kununua huko zinakouzwa roho?
 
Kwahiyo wanafikiri kwa nafsi za kununua huko zinakouzwa roho?
Wanao ahirisha kufikiri kwa nafsi, unyumbu ni tabia ya wanao pewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao yaani uoga bila utii, nimekwambia mnatumia akili nyingi sana bila sababu kuwajadili wanao ahirisha kufikiri kwa nafsi zao
 
Nchi yetu, na hasa Jeshi la Polisi, kwa vitendo vyake, linadhihirisha kuwa halipo kwaajili ya kuutumikia umma, halipo kwaajili ya kusimamia sheria, wala kulinda haki za msingi za raia na binadamu kwa ujumla.

Nchi hii kumekuwa na matukio ya kishetani kabisa, matukio ya kuteka, kutesa na kuua watu, ambayo yamekuwa yakifanyika dhidi ya raia wasio na hatia yoyote kwa mujibu wa sheria za nchi. Washukiwa wakuu wa uovu huo, ambao wamekuwa wakinyoshewa vidole, kwa mtazamo wa wananchi wengi na ushahidi wa kimazingira wamekuwa ni Polisi na UVCCM.

Wakati watu wakiendelea kutekwa na kupotezwa, na vyombo vya usalama vikiendelea kunyoshewa vidole na wananchi, anatokea kiongozi mwandamizi wa Serikali, mkuu wa Wilaya, mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa Wilaya, na mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM ya wilaya, anatoka hadharani na kutamka kwa uwazi kuwa ushindi wa CCM wajati wa uchaguzi huwa hautokani na kura za wananchi bali kwa uharamia ambao Serikali huwa inafanya dhidi ya wapinzani huko maporini, halafu polisi wapo kimya!! Kama polisi hawahusiki kabisa na huo uharamia, na imekuwa ikinyoshewa vidole kuhusiana na huo uharamia, huyu aliyejitokeza wazi na kutamka kuwa yeye ni miongoni mwa maharamia hao wa kuwapeleka watu porini, bila shaka ni kuwateka, kuwaua na kuwatupa porini, Polisi si wangekuwa wamepata pa kuanzia? Mbona polisi wapo kimya? Au polisi huwa ni sehemu ya huo uharamia ambao wapinzani hufanyiwa huko porini ndiyo maana wanashindwa kuchukua hatua?

Na kuna yule kiongozi wa UVCCM mkoani Kagera, alitamka wazi, akiwaagiza polisi kuwa endapo kuna mtu yeyote atanayemkosoa Rais au Serikali atapotea, Polisi wasimtafute, akimaanisha kuwa wao UVCCM watakuwa ndio wamempoteza. Na kwa sasa kuna vijana viongozi wa BAVICHA na wanaharakati wametekwa na kupotezwa, kama Polisi siyo wahusika, na hawawajui wahusika wa huo ushetani wa kuteka watu, mbona huyu aliyetamka wazi kuwa ni mhusika, hajawahi kukamatwa na kuhojiwa mpaka leo?

Rais Samia amechukua hatua za kiutawala dhidi ya haramia aliyekuwa DC wa Longido. Ilitegemewa baada ya huyu bwana kuondolewa kwenye nafasi ya uongozi, vyombo vingine, ikiwa ni pamoja na polisi, vingefuatia katika kuchukua hatua dhidi yake, LAKINI cha ajabu, tunashuhudia hakuna hatua zozote?

Je, umma tuamini kuwa ushetani aliokuwa anaufanya aliyekuwa DC wa Longido, ulihusisha pia jeshi la polisi, ndiyo maana hawawezi kuchukua hatua? Je tuamini pia kuwa Polisi inafuata maagizo ya kiongozi wa UVCCM kuwa wakosoaji wa Serikali wakitekwa na kupotezwa Polisi hawatakiwi kuwatafuta kwa sababu ni CCM kupitia UVCCM ndiyo itakuwa imewateka na kuwapoteza?

kwa kweli kama Taifa tupo kwenye laana kuu, maana tuna Jeshi la Polisi ambalo lipo haraka sana kuchukua hatua dhidi ya watu wasio na hatia lakini lipo kimya dhidi ya uovu mkubwa kama wa upotezaji wa uhai wa binadamu? Je, wao ni washiriki katika uovu huo? Kama siyo washiriki, kwa nini wanashindwa kuchukua hatua dhidi ya uovu huu wa kuwateka na kuwaua raia huku kuna watu wanajitokeza na kutamka kuwa wao ni sehemu ya washiriki?

PIA SOMA:
Polisi kushindwa kuchukua hatua za kiuchunguzi kuna maana yafuatayo.
1: polisi wenyewe walikuwa washiriki katika hizo pilika za michakato ya wizi wa kura iliyoongozwa na DC ambaye ndiye mwenyekiti wa ulinzi na usalama wilayani,na ambaye huambatana naye popote.
2: Kitendo alichokifanya DC wa Longido katika uchaguzi wa 2020, na pia kusema hata sasa wameshaanda michakato kwa ajili ya uchaguzi ujao, siyo tukio la kipekee( isolated case),ni matukio ya kila eneo palipofanyika uchaguzi,hali inayoonesha yalikuwa ni maelekezo waliyopewa ma-DC na wakuu wao.....na kwa mantiki hiyo polisi hawawezi kuanza uchunguzi wa uhalifu ambao walishiriki kikamilifu ili baadaye wajikamatishe wao na hao waliowatuma kufanya uhalifu...,na kama endapo kutakuwa na uchunguzi huru,mnyororo wa ushiriki katika uhalifu huo hautaishia tu kwa huyo mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya ,utafikia hadi kwa amiri jeshi mkuu wao.
Kinachoajabisha ni hiki, rais anamuondoa DC wa Longido kwa kuwa muwazi lakini kawaacha ma-DC wengine waliofanya kushinda yake huyo aliyeondolewa kwa vile tu wamekaa kimya. Na hata huyo DC aliyeteuliwa kushika nafasi yake naye tunatarajia ataendeleza pale alipoishia mwenzie,tofauti ni kwamba yeye sasa atakaa kimya.
Katika mazingira hayo navilaumu vyama vya siasa makini vilivyoamua kuingia katika uchaguzi katka mazingira yale yale,muundo wa tume ya uchaguzi ule ule,na katika ile ile.
Wanategemea nini katika kuleta hali sawa?
 
Message sent and delivered, ila ujumbe umewafikia watu wanao jizima data wamekwambia alienda kuchimba dawa bila kutumwa, (wanao ahirisha kufikiri kwa nafsi)
 
Society kwa kiswahili ni jamii, jamii inahusu watu wake wote kwenye eneo husika, (social democratic variables), elimu zao, tamaduni, dini, lugha kwakifupi ni mpangilio mzima wa maisha yao kwenye jamii husika bila kusahau muundo wa utawala.
Lengo langu ni kujaribu kufafanua kwanini jamii inaweza kushindwa kubuni mbinu za kutatua changamoto zake, zilizopo na zijazo, kutokana na utawala uliopo endapo wengine ndiyo wakiongea hoja zao zinakuwa na mashiko wengine hoja zao zinakuwa eti za kichochezi ndiyo hapo kwa kimombo neno ostracism hutumika yaani endapo unataka kuwanyang'anya washika tonge tonge lao, hawatakuacha, kwa maana watakushughulikia ipasavyo.

Hitimisho semeni mtakavyo wasema, swali fikirishi, je jamii yenu iko tayari kwa mabadiliko, yaani mafuvu yanafanya kazi ili kuwezesha mabadiliko chanya?, (Is your society knowledgeable for positive impact or positive changes), huwa nawacheka wanao sema people's power, je hao watu mafuvu yao yako tayari kupokea mabadiliko?, Adaptbility skills
 
Ujamaa(ccm) ni breeding ya communism. Na unaposema communism , unamzungumzia stalin.. Na unapomtaja stalin . Unataja kitu kinaitwa nkvd. Na unapotaja nkvd unataja sekeseke la great purge ya 1937.. Nachotaka kusema ni , ngumu sana kumwajibisha huyo.
Wala siyo communism hawa wametengeneza breeding ya unyumbu, unyumbu ni tabia ya wanao pewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi, a.k.a kujizima data, kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao bila utii
 
Sio rahisi polisi kumchukulia hatua polisi mwenzao.
 
kama Taifa,
lipo jukumu muhimu sana na zito kwa manufaa na mustakabali wa maendeleo ya waTanzania wote, na Dr Samia Suluhu Hassan, kiongozi wa nchi yetu na kipenzi cha waTanzania wote anatuongoza vizuri sana katika hilo,

nalo ni kuliunganisha Taifa na kuifungua nchi Kimataifa..

wenye nia au dhumuni la tatiza na kuhujumu uelekeo, dhamira na nia njema ya Rais, wataondolewa kwenye nafasi zao bila mbambamba yoyote, na hakutakua na haja nao tena na hatuwez kamwe kubabaika na yeyote, ispokua kuchapa kazi kwa bidii, uadilifu na weledi kuelekea uchaguzi wa kihistoria wa serikali za mitaa baadae Nov 27, 2024, na uchaguzi mkuu wa Oct 2025, ambapo waTanzania wote wameshaamua kuambatana na Dr Samia Suluhu Hassan kwa kishindo, anapokwenda kuhitimisha muhula wake muhimu sana wa pili mamlakani,🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wengine wa hizo "mbambamba" mbona wapo wazi sana ukiwemo wewe...?

Eti nini..??

Kwamba, Samia Suluhu Hassan muhula mwingine tena? That means 2025 - 2030..?

Tlaatlaah hujui usemalo. Na huoni yaliyo mbele yako....

The service of this Lady in Tanganyika is no longer needed...

The Almighty God for his name's sake is himself controlling this...
 
I thought you share the same evil and selfish agendas with those terrible guys Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah and the likes....

I apologize Mr/Mrs/Miss Stuxnet for wrongly accusing you...
I due respect the freedom of speech, expressions and opinions of each and every Tanzania..

as a young capable leader of the land, I have nothing to do with individuals issues, but only matters with national interests...

Other than that, you can associates me with everyone as you wish, call me names as you like,
but all those might be useless and nonsense when it comes to National interests in which all Tanzanias are entitled to enjoy as per our beautiful constitution..

I love all JF members equally regardless of their status and perceptions about me 🐒
 
Wengine wa hizo "mbambamba" mbona wapo wazi sana ukiwemo wewe...?

Eti nini..??

Kwamba, Samia Suluhu Hassan muhula mwingine tena? That means 2025 - 2030..?

Tlaatlaah hujui usemalo. Na huoni yaliyo mbele yako....

The service of this Lady in Tanganyika is no longer needed...

The Almighty God for his name's sake is himself controlling this...
find vibrant reasons za kushindwa uchaguzi huo muhimu sana na wa kihistoria Tanzania na duniani kote kwa mwana mama shupavu na kipenzi cha waTanzania Dr Samia suluhu Hassan atakapoibuka na ushindi wa kishindo kikuu endapo atawania muhula wa pili ujao...

hilo ni jambo la maana sana waTanzania wote lazima kulifahamu.hukuna mbaya kwenye mambo serious ya kitaifa kwa manufaa ya wananchi na waTanzania wote 🐒
 
I due respect the freedom of speech, expressions and opinions of each and every Tanzania..
about me 🐒

You can't use freedom of speech/expression/opinions for political manipulation purpose and for insulting your fellow citizens' intelligence....!

Therefore, whether you like it or not, this attitude of yours has to be severely challenged and rebuked....!
 
Sasa hivi hana poundi wala faranga achilia mbali dollars
 
Back
Top Bottom