Amekiri hadharani kuwa alihusika kuharibu uchaguzi 2020 na alihusika pia ktk mambo ya uhalifu wa maporini kwenye maeneo tofauti tofauti hapa nchini.
Sasa kwann hakamatwi ili atoe maelezo ya kina ya maovu aliyoyafanya na ikibidi afunguliwe mashitaka??
Najaribu kiwaza kwa sauti tu, ingelikuwa ni kiongozi wa upinzani ameyasema maneno yale, hivi sasa angekuwa hajafuatwa na chopa kweli?
Malisa na Jacob walibebwa mzobemzobe kwa chopa kutoka Dar hadi Arusha kwa kutoa taarifa tu za kupotea kwa kijana.
My take:
Jeshi la polisi lisiwafanye ccm kuwa wako juu ya sheria. Uonevu ukizidi watasababisha watanzania wakinukishe.