musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 591
- 909
Wasalaam
Matukio mengi yenye utata na yasiyo na utata yanazidi kujenga ukuta wa chuki kati ya raia na jeshi la polisi
Leo kwenye daladala watu wengi walikuwa katika mjadala wa kulaani jeshi hili kiasi mtu yeyote hakukumbuka kazi njema au lengo la jeshi hili
Mmoja alisema"kwani wanabeba familia zao kazini...itafikia hatua tutachoma nyumba zao"...mwingine akasema" au unatia hata sumu kwenye matanki ya maji"
Mwingine akasema mnaua hata ndugu zake kijijini nao waone uchungu wa kupoteza ndugu
Chuki mnayojenga athari zake ni mbaya...msikubali kutumika kama robots...mtakuja kulipa gharama kubwa