musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 591
- 909
- Thread starter
- #21
Watu wanakua real😆Napendaga sana mada za kwenye daladala unapata taarifa kamili maana watu hawajuani ila wanatoa ya moyoni. Mada zinanoga hadi wengine wanalipiana nauli na wengine saa ya kushuka wanaagana kama ndugu, wengine huishia kutukanana, wengine huahirisha kushuka vituo vyao ili wamalizie hoja yao...
Kipindi flani nafanya kazi kwenye mradi flani, nilikuwa nakisanya maoni mengi kwenye njia ya ruti yenye watu wengi.
Kimara kariakoo, kijichi gerezani, tandika kariakoo/muhimbili n.k.