musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 591
- 909
Hatari nduguKazi inazidi kuwa ngumu...wanazidi ongeza maadui...sijui labda kwa sababu wameshazoea hizi vita na watu.
'Kuharibu sio kuhalibu'Mbona mimi sijakamatwa
We Leta upuuzi wa kuhatarisha amani ya inchi uone.....
Polisi acheni upole hawa wapuuzi wanataka kuhalibu amani ya inchi minyeni apo apo.....
Sawa mwalimu lakini si umeelewa?'Kuharibu sio kuhalibu'
Hiyo amani unaijua peke yako?Mbona mimi sijakamatwa
We Leta upuuzi wa kuhatarisha amani ya inchi uone.....
Polisi acheni upole hawa wapuuzi wanataka kuhalibu amani ya inchi minyeni apo apo.....
BwegeMbona mimi sijakamatwa
We Leta upuuzi wa kuhatarisha amani ya inchi uone.....
Polisi acheni upole hawa wapuuzi wanataka kuhalibu amani ya inchi minyeni apo apo.....
Hawa wadogo mnawaonea Bure,hawahawa kina murilo ndio wakudeal nao!Wasalaam
Matukio mengi yenye utata na yasiyo na utata yanazidi kujenga ukuta wa chuki kati ya raia na jeshi la polisi
Leo kwenye daladala watu wengi walikuwa katika mjadala wa kulaani jeshi hili kiasi mtu yeyote hakukumbuka kazi njema au lengo la jeshi hili
Mmoja alisema"kwani wanabeba familia zao kazini...itafikia hatua tutachoma nyumba zao"...mwingine akasema" au unatia hata sumu kwenye matanki ya maji"
Mwingine akasema mnaua hata ndugu zake kijijini nao waone uchungu wa kupoteza ndugu
Chuki mnayojenga athari zake ni mbaya...msikubali kutumika kama robots...mtakuja kulipa gharama kubwa
Wajitolee waende Kongo huko!Kazi inazidi kuwa ngumu...wanazidi ongeza maadui...sijui labda kwa sababu wameshazoea hizi vita na watu.
🤣🤣Kongo tenaWajitolee waende Kongo huko!
Utaendelea kukosea!Kuharibu sio kuhalibu sio kiswahili Hata kidogo.Sawa mwalimu lakini si umeelewa?
Eeh ndio kuna vulugu,hapa watulie hatuna siraha za kupigana nao,siraha zetu ni mdomo na kwenye majukwaa ya mitandao.🤣🤣Kongo tena
Hakika mkuuEeh ndio kuna vulugu,hapa watulie hatuna siraha za kupigana nao,siraha zetu ni mdomo na kwenye majukwaa ya mitandao.
'Vurugu sio vulugu...silaha sio siraha' mmmh mnaokosea kuandika mitazamo yenu inafanana😄Eeh ndio kuna vulugu,hapa watulie hatuna siraha za kupigana nao,siraha zetu ni mdomo na kwenye majukwaa ya mitandao.
Hasila,Hasira,hasira Mkuu!'Vurugu sio vulugu...silaha sio siraha' mmmh mnaokosea kuandika mitazamo yenu inafanana😄
Leo kimeumana Kwa spelling!Hasila,Hasira,hasira Mkuu!
Keyboard warrior naona unatishia nyauWasalaam