musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 591
- 909
- Thread starter
-
- #21
Watu wanakua real😆Napendaga sana mada za kwenye daladala unapata taarifa kamili maana watu hawajuani ila wanatoa ya moyoni. Mada zinanoga hadi wengine wanalipiana nauli na wengine saa ya kushuka wanaagana kama ndugu, wengine huishia kutukanana, wengine huahirisha kushuka vituo vyao ili wamalizie hoja yao...
Kipindi flani nafanya kazi kwenye mradi flani, nilikuwa nakisanya maoni mengi kwenye njia ya ruti yenye watu wengi.
Kimara kariakoo, kijichi gerezani, tandika kariakoo/muhimbili n.k.
Mimi sio hicho ulichosema...I am a Christian...kufia nachoamini ni kweli ya Mungu ni jambo la heri milele...siogopi narudia tena sijawahi kuwa muoga,am made being that way spiritually...sawaKeyboard warrior naona unatishia nyau
Una vituko
Halafu mtumie akili kudeal na issue...manawapa watu mileage...hivi kwanini mnakuwa wajing hiviKeyboard warrior naona unatishia nyau
Una vituko
Nani ambaye unadhani ni muoga? Kwa hiyo wewe peke yako ndio sio muoga ? Polisi waoga?...siogopi narudia tena sijawahi kuwa muoga,am made being that way spiritually...sawa
WAnapotupeleka tutafika kwa maana hutaniulia ndugi yangu na nikujue na nikakaa kimya. Nitalipa na mimi hata kuroga nkWasalaam
Matukio mengi yenye utata na yasiyo na utata yanazidi kujenga ukuta wa chuki kati ya raia na jeshi la polisi
Leo kwenye daladala watu wengi walikuwa katika mjadala wa kulaani jeshi hili kiasi mtu yeyote hakukumbuka kazi njema au lengo la jeshi hili
Mmoja alisema"kwani wanabeba familia zao kazini...itafikia hatua tutachoma nyumba zao"...mwingine akasema" au unatia hata sumu kwenye matanki ya maji"
Mwingine akasema mnaua hata ndugu zake kijijini nao waone uchungu wa kupoteza ndugu
Chuki mnayojenga athari zake ni mbaya...msikubali kutumika kama robots...mtakuja kulipa gharama kubwa
Mkuu hata huko Kongo wanahitaji hiyo amani sana.Wajitolee waende Kongo huko!
Na bila kuwaonyesha action hawatabadilika.Wasalaam
Matukio mengi yenye utata na yasiyo na utata yanazidi kujenga ukuta wa chuki kati ya raia na jeshi la polisi
Leo kwenye daladala watu wengi walikuwa katika mjadala wa kulaani jeshi hili kiasi mtu yeyote hakukumbuka kazi njema au lengo la jeshi hili
Mmoja alisema"kwani wanabeba familia zao kazini...itafikia hatua tutachoma nyumba zao"...mwingine akasema" au unatia hata sumu kwenye matanki ya maji"
Mwingine akasema mnaua hata ndugu zake kijijini nao waone uchungu wa kupoteza ndugu
Chuki mnayojenga athari zake ni mbaya...msikubali kutumika kama robots...mtakuja kulipa gharama kubwa
Kivyovyote vile msg itafika kwa walengwa kama ilivyokusudiwa.Wasalaam