Maisha magic plusSinema zetu 😂
Kama mlivyo sema mmekamata raia wa USA mwanajeshi level ya Sajet mnampeleka lini mahakamani maana ushaidi alikua nao au bado mnaendelea na uchunguzi pamoja na kukutwa na Ushaidi kama mlivyo sema Lakin bado hajapandishwa mahakamani?
Watafanya hivyo tu kama mange atakuwa na ametenda kosa la jinai marekani na tz kwa wakati mmoja...Marekani wamkabidhi Mange Kimambi kwa mamlaka za Tanzania, ili na sisi tuweze kumuachia askari wao.
Wamekupa kazi ngumu sana hapa JF endelea kupigania ulaji wako.Unanadi uchanga wako kwenye ukachero,umkamate mwanajeshi wa nje nchini kwako, kipindi cha tension halafu siku mbili umpeleke mahakamani,umemkamua saa ngapi taarifa za kutosha?.. halafu nani kakwambia wa hivyo hupelekwa mahakamani!?
😆😆😂 Hapo kwenye kuagiza kutoka Alibaba ndo pamenichekesha sana.😅😅😅 Raia wa Marekani ukisearch details zake nyingi zinapatikana, huyu wa kwao ni wa kuagiza Alibaba labda.
Lakini anajitahidi kujiwehusha 😁😁😁Wamekupa kazi ngumu sana hapa JF endelea kupigania ulaji wako.
Dah?Unanadi uchanga wako kwenye ukachero,umkamate mwanajeshi wa nje nchini kwako, kipindi cha tension halafu siku mbili umpeleke mahakamani,umemkamua saa ngapi taarifa za kutosha?.. halafu nani kakwambia wa hivyo hupelekwa mahakamani!?
Kama mlivyosema mmekamata raia wa USA mwanajeshi level ya Sajenti mnampeleka lini mahakamani maana ushahidi alikuwa nao, au bado mnaendelea na uchunguzi pamoja na kukutwa na ushahidi kama mlivyosema Lakini bado hajapandishwa mahakamani.
Huyo ni polisi mwenzao wa kituo Cha buhemba na ni mlevi mno wa gongo. Na rpc anahaha kuinusuru nafasi yake kwani gen z walimshinda ujanja ndio maana kaicheza hiyo movie kuwashawishi maboss wake.Huyo anaminywa hadi ataje nyumbu wenzake wote alafu hakuna kupelekwa mahakamani anauwawa kwa adhabu ya firing squad, askari 7 wanajipanga mstari mmoja wanamchapa risasi kwa wakati mmoja, kwahiyo usitarajie kumuona mahakamani.