Polisi Mara mnampeleka lini Mahakamani Mwanajeshi raia wa Marekani aliyekamatwa na mabomu?

Polisi Mara mnampeleka lini Mahakamani Mwanajeshi raia wa Marekani aliyekamatwa na mabomu?

Inasemekana mafele alimchukua huyo mwanajeshi na ameshamtanguliza tayari.
 
Kama mlivyosema mmekamata raia wa USA mwanajeshi level ya Sajenti mnampeleka lini mahakamani maana ushahidi alikuwa nao, au bado mnaendelea na uchunguzi pamoja na kukutwa na ushahidi kama mlivyosema Lakini bado hajapandishwa mahakamani.
Ile ni propaganda ya kijinga kabisa, hawakukamata askari wa US.
Ni kama tu hii nyingine ya udini waliyojaribu kutengeneza na kuangukia pua mapemaa
 
Unanadi uchanga wako kwenye ukachero,umkamate mwanajeshi wa nje nchini kwako, kipindi cha tension halafu siku mbili umpeleke mahakamani,umemkamua saa ngapi taarifa za kutosha?.. halafu nani kakwambia wa hivyo hupelekwa mahakamani!?
Huna ujualo
 
Huna ujualo nimeshakutaza upumbavu wako
..Marekani wamkabidhi Mange Kimambi kwa mamlaka za Tanzania, ili na sisi tuweze kumuachia askari wao.
USA hawana upumbavu huo
 
Mmarekani wa Njombe. Polisi akili ndogo sana, walidhani watawatoa Watanganyika kwenye reli.
Lengo lilikua hilo kuwatoa watz. Kwenye reli lakini jambo limebuma, hii serikali haramu lengo kudhoofisha maandamano ya d9.
 
Watafanya hivyo tu kama mange atakuwa na ametenda kosa la jinai marekani na tz kwa wakati mmoja.
Otherwise mtasubiri sana, wenzetu hawafanyi kazi kwa matamshi
Mangi mwenyewe ana green card hata kama akifanya jinai ni ngumu sana kuja kushtakiwa Tz.. Rejea case ya mtoto wa Charles Taylor
 
Huenda wanangoja matokeo ya Tume ya mfukoni ya Mama aliyoiunda juzi! Usije kushangaa akitajwa kwenye Ripoti ya Tume! Ataongezewa mashitaka ya kugawa hela kwa Vijana!
 
Unanadi uchanga wako kwenye ukachero,umkamate mwanajeshi wa nje nchini kwako, kipindi cha tension halafu siku mbili umpeleke mahakamani,umemkamua saa ngapi taarifa za kutosha?.. halafu nani kakwambia wa hivyo hupelekwa mahakamani!?
Umepewa kazi ngumu sana kutetea upuuzi
Kama Bado wanawapa elfu saba pale Lumumba usikubali wakuongezee

Huyu mwanajeshi wa Marekani amevuka boda ngapi na hayo mabomu yake ?

Mwanajeshi kamili haihitaji kutembea na silaha , ana uwezo wa kuingia humu humu nchini na kuupora silaha POPOTE

Hamza TU yule alitoa wapi silaha na kushambulia mapolisi
 
Huyo anaminywa hadi ataje nyumbu wenzake wote alafu hakuna kupelekwa mahakamani anauwawa kwa adhabu ya firing squad, askari 7 wanajipanga mstari mmoja wanamchapa risasi kwa wakati mmoja, kwahiyo usitarajie kumuona mahakamani.

Upumbav.u ndiyo sifa pekee kubwa uliyobakia nayo.
 
Mimi nilivyoona 'Mwanajeshi wa US' amevaa ule mkoti umepishana mabega;lile la kushoto liko juu, la kulia liko chini, nikajua tayariii hii ni Bongomovie. 😂

Yaani hapo katika kutengeneza hayo maigizo ndiyo wametumia uwezo wao wa mwisho kabisa wa akili!!
 
Back
Top Bottom