Polisi Mara mnampeleka lini Mahakamani Mwanajeshi raia wa Marekani aliyekamatwa na mabomu?

Polisi Mara mnampeleka lini Mahakamani Mwanajeshi raia wa Marekani aliyekamatwa na mabomu?

Huyo anaminywa hadi ataje nyumbu wenzake wote alafu hakuna kupelekwa mahakamani anauwawa kwa adhabu ya firing squad, askari 7 wanajipanga mstari mmoja wanamchapa risasi kwa wakati mmoja, kwahiyo usitarajie kumuona mahakamani.
Marekani imethibitisha wapi kuwa ni mwanajeshi wao?? Sinemq zetu hakika ni za kwetu bado machawa mnakazi sana
 
Unanadi uchanga wako kwenye ukachero,umkamate mwanajeshi wa nje nchini kwako, kipindi cha tension halafu siku mbili umpeleke mahakamani,umemkamua saa ngapi taarifa za kutosha?.. halafu nani kakwambia wa hivyo hupelekwa mahakamani!?
Hupelekwa wapi?
 
Kama mlivyosema mmekamata raia wa USA mwanajeshi level ya Sajenti mnampeleka lini mahakamani maana ushahidi alikuwa nao, au bado mnaendelea na uchunguzi pamoja na kukutwa na ushahidi kama mlivyosema Lakini bado hajapandishwa mahakamani.
Hawa jamaa tamthilia zao siza juzi.
  • waliwahi kukamata bunduki aina ya SMG ikiwa imefungwa kwenye bendera ya CHADEMA
  • waliwahi kumkamata raia wa Kenya kwa tuhuma za kumteka na kumjeruhi dr Ulimboka. Mtuhumiwa huyo walimkamata kanisani kwa Gwajima akiwa ameenda kutubu dhambi ya utekaji
-Wakishirikiana na Mwigulu Lameck Nchemba Madelu- a.k.a waziri mkuu, walimkamata Willfred Lwakatare kwa tuhuma za ugaidi, huku waziri mku akiahidi kutoa ushahidi ktk mahama za duniani hata za mbinguni.
..........
 
Kama mlivyosema mmekamata raia wa USA mwanajeshi level ya Sajenti mnampeleka lini mahakamani maana ushahidi alikuwa nao, au bado mnaendelea na uchunguzi pamoja na kukutwa na ushahidi kama mlivyosema Lakini bado hajapandishwa mahakamani.
Haswa. Hivi kweli Marekani wangekaa kimya muda wote huu wakati askari wao ameshikwa na taifa jingine?
 
Huyo anaminywa hadi ataje nyumbu wenzake wote alafu hakuna kupelekwa mahakamani anauwawa kwa adhabu ya firing squad, askari 7 wanajipanga mstari mmoja wanamchapa risasi kwa wakati mmoja, kwahiyo usitarajie kumuona mahakamani.
Punguza kuangalia movie na series za kikorea, real world haifanyi kazi hivyo🤣
 
Umepewa kazi ngumu sana kutetea upuuzi
Kama Bado wanawapa elfu saba pale Lumumba usikubali wakuongezee

Huyu mwanajeshi wa Marekani amevuka boda ngapi na hayo mabomu yake ?

Mwanajeshi kamili haihitaji kutembea na silaha , ana uwezo wa kuingia humu humu nchini na kuupora silaha POPOTE

Hamza TU yule alitoa wapi silaha na kushambulia mapolisi
We jamaa mweupe sana, halafu kutwa ku-reply comments zangu,hapo unaona umeandika vya maana!
 
Unanadi uchanga wako kwenye ukachero,umkamate mwanajeshi wa nje nchini kwako, kipindi cha tension halafu siku mbili umpeleke mahakamani,umemkamua saa ngapi taarifa za kutosha?.. halafu nani kakwambia wa hivyo hupelekwa mahakamani!?
Screenshot_20251121-110300~2.png
 
Back
Top Bottom