Marekani imethibitisha wapi kuwa ni mwanajeshi wao?? Sinemq zetu hakika ni za kwetu bado machawa mnakazi sanaHuyo anaminywa hadi ataje nyumbu wenzake wote alafu hakuna kupelekwa mahakamani anauwawa kwa adhabu ya firing squad, askari 7 wanajipanga mstari mmoja wanamchapa risasi kwa wakati mmoja, kwahiyo usitarajie kumuona mahakamani.
Hupelekwa wapi?Unanadi uchanga wako kwenye ukachero,umkamate mwanajeshi wa nje nchini kwako, kipindi cha tension halafu siku mbili umpeleke mahakamani,umemkamua saa ngapi taarifa za kutosha?.. halafu nani kakwambia wa hivyo hupelekwa mahakamani!?
Wanaukota limutu huko et mwanajeshi wa marekani polisi wengi akili hawanaYaani hapo katika kutengeneza hayo maigizo ndiyo wametumia uwezo wao wa mwisho kabisa wa akili!!
Hawa jamaa tamthilia zao siza juzi.Kama mlivyosema mmekamata raia wa USA mwanajeshi level ya Sajenti mnampeleka lini mahakamani maana ushahidi alikuwa nao, au bado mnaendelea na uchunguzi pamoja na kukutwa na ushahidi kama mlivyosema Lakini bado hajapandishwa mahakamani.
Haswa. Hivi kweli Marekani wangekaa kimya muda wote huu wakati askari wao ameshikwa na taifa jingine?Kama mlivyosema mmekamata raia wa USA mwanajeshi level ya Sajenti mnampeleka lini mahakamani maana ushahidi alikuwa nao, au bado mnaendelea na uchunguzi pamoja na kukutwa na ushahidi kama mlivyosema Lakini bado hajapandishwa mahakamani.
Punguza kuangalia movie na series za kikorea, real world haifanyi kazi hivyo🤣Huyo anaminywa hadi ataje nyumbu wenzake wote alafu hakuna kupelekwa mahakamani anauwawa kwa adhabu ya firing squad, askari 7 wanajipanga mstari mmoja wanamchapa risasi kwa wakati mmoja, kwahiyo usitarajie kumuona mahakamani.
We jamaa mweupe sana, halafu kutwa ku-reply comments zangu,hapo unaona umeandika vya maana!Umepewa kazi ngumu sana kutetea upuuzi
Kama Bado wanawapa elfu saba pale Lumumba usikubali wakuongezee
Huyu mwanajeshi wa Marekani amevuka boda ngapi na hayo mabomu yake ?
Mwanajeshi kamili haihitaji kutembea na silaha , ana uwezo wa kuingia humu humu nchini na kuupora silaha POPOTE
Hamza TU yule alitoa wapi silaha na kushambulia mapolisi
Unanadi uchanga wako kwenye ukachero,umkamate mwanajeshi wa nje nchini kwako, kipindi cha tension halafu siku mbili umpeleke mahakamani,umemkamua saa ngapi taarifa za kutosha?.. halafu nani kakwambia wa hivyo hupelekwa mahakamani!?