Hivi kweli nyie mnaojua ukweli wa mambo mniambie huyu mkuu na serikali yake wananiogopa ni nini? Kuanza walikuwa wale watoto wanaotaka berveacher leo wall na tena Vincent. Kulikoni? Isije kuwa ile story ya James Hadley Chase ya the guilty are always afraid unakuja kwa vitendo? Kwani hawawezi kuongea nao tu yakaisha? Kama hawana hekima si bora waende kwenye makanisa ya kiroho wakafundishwe jinsi na namna ya kumtafuta na hatimaye wamtumie Roho Mtakatifu? Mbona simple tu? Luna mzee gamanywa pale; kakibe; mzee as upako; gwajima au kama huyo hamumutaki kwa kuwa man kesi naye njiani K wangu na mimi ni mchungaji mdogo