Polisi mnapoingilia mahakama hipo siku mahakama itaingilia polisi ofisini kwenu

Polisi mnapoingilia mahakama hipo siku mahakama itaingilia polisi ofisini kwenu

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Siwezi shangaa Tanzania ilipofikia kwa sasa maana BASATA na TCRA wanaweza kuwa michepuko ya mtu mwengine.

Sio tu wao hata idara nyingi sasa mfano wizara ya michezo ikaweza kucontrol TRA sasa.

Tuje kwenye mada sasa mfano mahakama kuona polisi wakiingilia mahakama na kufanya kama sehemu ya ofisi zao ili jambo kuna siku nayo mahakama itakuja kufanya polisi ni sehemu yao.

Sababu ni kipi mfumo unaondelea kunasiku haki na uwonevu mtachanganyana wenyewe yani polisi wajibu wenu kuna siku hata kama mna mtuhumiwa kesi yake itamalizika hapo maana mahakama nayo itakuja kuwaingilia kwenu.
 
Back
Top Bottom