Polisi Moro na mazoezi ya kufa mtu, ni yale Maandamano yetu?

FM_UkAfXwAIlnVM.jpg

YANGA imeshinda bao ngapi?😁
 
Polisi Moro wakiwa na vifaa vyao timamu, yakiwamo yale magari pendwa yenye uwezo kamili wa kuzima moto bali yakitumika kama washawasha wamefanya mazoezi ya kufa mtu Moro:

View: https://m.youtube.com/watch?v=kKIzxrOI-V4

Ni wazi kuwa isingalikuwa taabu kuudhibiti moto ule nq mapema asubuhi Kariakoo, laiti hata kama yangetumika kama yalivyo na machache tu.

Kama ilivyokuwa wale wa zoezi la usafi siku ya operation ukuta, hawa wamejumuisha wakiita vyombo vyote ..

"Bila shaka ni zile tishia nyau zetu kazini."

Izingatiwe jemedali Mwabukusi amekuwa wazi:

"taratibu zote za kisheria zitafuatwa."

Ya kuwa 7 October kutakuwa na tamko rasmi.

Kasisitiza Mwabukusi watanzania siyo waoga. Ya kuwa mwenye kuwadhania vinginevyo na akaeleke jiwe.

Viva Mwabukusi.

Mlipo tupo!

Shida police tz ,hawajawahi kutana na mtiti wa wananchi walioamua, na ni kwa bahati tu, ila siku ikifika , mikwara yote inapotea ghafla
 
chadema ni wakushusha bega kabla hawajakomaa
wasituharibie utulivu tulio nao kuelekea uchumi wa blue
 
Polisi Moro wakiwa na vifaa vyao timamu, yakiwamo yale magari pendwa yenye uwezo kamili wa kuzima moto bali yakitumika kama washawasha wamefanya mazoezi ya kufa mtu Moro:

View: https://m.youtube.com/watch?v=kKIzxrOI-V4

Ni wazi kuwa isingalikuwa taabu kuudhibiti moto ule nq mapema asubuhi Kariakoo, laiti hata kama yangetumika kama yalivyo na machache tu.

Kama ilivyokuwa wale wa zoezi la usafi siku ya operation ukuta, hawa wamejumuisha wakiita vyombo vyote ..

"Bila shaka ni zile tishia nyau zetu kazini."

Izingatiwe jemedali Mwabukusi amekuwa wazi:

"taratibu zote za kisheria zitafuatwa."

Ya kuwa 7 October kutakuwa na tamko rasmi.

Kasisitiza Mwabukusi watanzania siyo waoga. Ya kuwa mwenye kuwadhania vinginevyo na akaeleke jiwe.

Viva Mwabukusi.

Mlipo tupo!

Polisi wanabeba hadi RPG?! Ya nini?!?!
🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Polisi wanabeba hadi RPG?! Ya nini?!?!
🙌🏿🙌🏿🙌🏿

Hadi mawasha washa - kututishia ngozi ya Simba.

Hakuna kurudi nyuma kama ya ukuta.
 
Polisi Moro wakiwa na vifaa vyao timamu, yakiwamo yale magari pendwa yenye uwezo kamili wa kuzima moto bali yakitumika kama washawasha wamefanya mazoezi ya kufa mtu Moro:

View: https://m.youtube.com/watch?v=kKIzxrOI-V4

Ni wazi kuwa isingalikuwa taabu kuudhibiti moto ule na mapema asubuhi Kariakoo, laiti hata kama yangetumika kama yalivyo na machache yao tu. Wala si mengi.

Kama ilivyokuwa kwa wale wa zoezi la usafi enzi za operation ukuta, hawa wamejumuisha wakiviita pamoja na vyombo vile vingine vyote ..

"Bila shaka ni zile tishia nyau zetu kazini sasa."

Izingatiwe jemedali Mwabukusi amekuwa wazi:

"taratibu zote za kisheria zitafuatwa."

Ya kuwa 7 October kutakuwa na tamko rasmi.

Kasisitiza Mwabukusi watanzania siyo waoga. Ya kuwa mwenye kuwadhania vinginevyo na akaeleke jiwe.

Viva Mwabukusi.

Mlipo tupo!

ni kwaajili ya ma mbwa Koko.

na watapata tabu sanaaa....
 
Haitazuia chochote! Wananchi tumechoka na huu utawala! Hawana uwezo wa kuuza wananchi wote.
 
Duuuh! kwa hali hiyo Mwambukusi inaonyesha yuko very serious.... kwakweli jamaa ni consistent sana,harudi nyuma.
Mheshimu sana mtu anayetetea anachokijua!...Sio wale wengine wera wera kibao.
 
Hili ni pigo kubwa sana kwa vile vyama saka ubunge na ruzuku vikiwamo vya akina imhotep.

Wameshindwa kuelewa adui au rafiki ni yupi na lini.

Kulikoni kumchukia Mwabukusi, Slaa, LIssu au Mdude kwenye harakati hIzi?

Maajabu ya Mussa.
 
Back
Top Bottom