Weka picha
Hamna hata kabpicha na sisi matomaso tulio mbali tuamini
Shida police tz ,hawajawahi kutana na mtiti wa wananchi walioamua, na ni kwa bahati tu, ila siku ikifika , mikwara yote inapotea ghaflaPolisi Moro wakiwa na vifaa vyao timamu, yakiwamo yale magari pendwa yenye uwezo kamili wa kuzima moto bali yakitumika kama washawasha wamefanya mazoezi ya kufa mtu Moro:
View: https://m.youtube.com/watch?v=kKIzxrOI-V4
Ni wazi kuwa isingalikuwa taabu kuudhibiti moto ule nq mapema asubuhi Kariakoo, laiti hata kama yangetumika kama yalivyo na machache tu.
Kama ilivyokuwa wale wa zoezi la usafi siku ya operation ukuta, hawa wamejumuisha wakiita vyombo vyote ..
"Bila shaka ni zile tishia nyau zetu kazini."
Izingatiwe jemedali Mwabukusi amekuwa wazi:
"taratibu zote za kisheria zitafuatwa."
Ya kuwa 7 October kutakuwa na tamko rasmi.
Kasisitiza Mwabukusi watanzania siyo waoga. Ya kuwa mwenye kuwadhania vinginevyo na akaeleke jiwe.
Viva Mwabukusi.
Mlipo tupo!
Eh kumbe polisi yetu ina vifaa namna hii ila hawawezi kamata wahalifu wala kuzuia na wanaweza jionyesha wanaposikia kuna maandamano yatakayoweza wafungua watu macho
View attachment 2769804
YANGA imeshinda bao ngapi?π
Sasa hiyo RPG ya kumpiga nani au watatufuata hata kwenye Vigodoro au Maduka ya kubeti au kwenye vijiwe vya YANGA na SIMBA waje watupige Bazooka?π
Polisi wanabeba hadi RPG?! Ya nini?!?!Polisi Moro wakiwa na vifaa vyao timamu, yakiwamo yale magari pendwa yenye uwezo kamili wa kuzima moto bali yakitumika kama washawasha wamefanya mazoezi ya kufa mtu Moro:
View: https://m.youtube.com/watch?v=kKIzxrOI-V4
Ni wazi kuwa isingalikuwa taabu kuudhibiti moto ule nq mapema asubuhi Kariakoo, laiti hata kama yangetumika kama yalivyo na machache tu.
Kama ilivyokuwa wale wa zoezi la usafi siku ya operation ukuta, hawa wamejumuisha wakiita vyombo vyote ..
"Bila shaka ni zile tishia nyau zetu kazini."
Izingatiwe jemedali Mwabukusi amekuwa wazi:
"taratibu zote za kisheria zitafuatwa."
Ya kuwa 7 October kutakuwa na tamko rasmi.
Kasisitiza Mwabukusi watanzania siyo waoga. Ya kuwa mwenye kuwadhania vinginevyo na akaeleke jiwe.
Viva Mwabukusi.
Mlipo tupo!
Polisi wanabeba hadi RPG?! Ya nini?!?!
ππΏππΏππΏ
ni kwaajili ya ma mbwa Koko.Polisi Moro wakiwa na vifaa vyao timamu, yakiwamo yale magari pendwa yenye uwezo kamili wa kuzima moto bali yakitumika kama washawasha wamefanya mazoezi ya kufa mtu Moro:
View: https://m.youtube.com/watch?v=kKIzxrOI-V4
Ni wazi kuwa isingalikuwa taabu kuudhibiti moto ule na mapema asubuhi Kariakoo, laiti hata kama yangetumika kama yalivyo na machache yao tu. Wala si mengi.
Kama ilivyokuwa kwa wale wa zoezi la usafi enzi za operation ukuta, hawa wamejumuisha wakiviita pamoja na vyombo vile vingine vyote ..
"Bila shaka ni zile tishia nyau zetu kazini sasa."
Izingatiwe jemedali Mwabukusi amekuwa wazi:
"taratibu zote za kisheria zitafuatwa."
Ya kuwa 7 October kutakuwa na tamko rasmi.
Kasisitiza Mwabukusi watanzania siyo waoga. Ya kuwa mwenye kuwadhania vinginevyo na akaeleke jiwe.
Viva Mwabukusi.
Mlipo tupo!
Haitazuia chochote! Wananchi tumechoka na huu utawala! Hawana uwezo wa kuuza wananchi wote.Polisi Moro wakiwa na vifaa vyao timamu, yakiwamo yale magari pendwa yenye uwezo kamili wa kuzima moto bali yakitumika kama washawasha wamefanya mazoezi ya kufa mtu Moro:
View: https://m.youtube.com/watch?v=kKIzxrOI-V4
Ni wazi kuwa isingalikuwa taabu kuudhibiti moto ule na mapema asubuhi Kariakoo, laiti hata kama yangetumika kama yalivyo na machache yao tu. Wala si mengi.
Kama ilivyokuwa kwa wale wa zoezi la usafi enzi za operation ukuta, hawa wamejumuisha wakiviita pamoja na vyombo vile vingine vyote ..
"Bila shaka ni zile tishia nyau zetu kazini sasa."
Izingatiwe jemedali Mwabukusi amekuwa wazi:
"taratibu zote za kisheria zitafuatwa."
Ya kuwa 7 October kutakuwa na tamko rasmi.
Kasisitiza Mwabukusi watanzania siyo waoga. Ya kuwa mwenye kuwadhania vinginevyo na akaeleke jiwe.
Viva Mwabukusi.
Mlipo tupo!
Labda wameiandaa rasmi kwa ajili ya Dokta Slaa.Polisi wanabeba hadi RPG?! Ya nini?!?!
ππΏππΏππΏ
Mheshimu sana mtu anayetetea anachokijua!...Sio wale wengine wera wera kibao.Duuuh! kwa hali hiyo Mwambukusi inaonyesha yuko very serious.... kwakweli jamaa ni consistent sana,harudi nyuma.
Haitazuia chochote! Wananchi tumechoka na huu utawala! Hawana uwezo wa kuuza wananchi wote.
Mheshimu sana mtu anayetetea anachokijua!...Sio wale wengine wera wera kibao.
Si wamesema kila mwisho wa mwezi?