Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume mzima utafuatiliaje mpira wa Bongo? Huna cha kufanya?Leo tarehe 24/01/2015 vpl polisi morogoro vs yanga. utapata kila kitu kutoka uwanja wa Jamhuri morogoro, mkolaj ndo nitahusika kwa kushirikiana na cnjona na makoye matale.
Mwanaume mzima utafuatiliaje mpira wa Bongo? Huna cha kufanya?
Mwanaume mzima utafuatiliaje mpira wa Bongo? Huna cha kufanya?
Mwanaume mzima utafuatiliaje mpira wa Bongo? Huna cha kufanya?
Wewe ndio hujui, kufuatilia mpira wa Bongo ndio starehe yake kaka, kwa nini kumchagulia mwenzio kipenda roho? Mpira wa Bongo unalipa sana kama hujui, jiulize kwa nini yule Bilionea kajenga uwanja binafsi, kwa nini watu wanatoana heshima sababu ya mpira huu huu wa Bongo.
Kipende chako kwanza kisha cha jirani.