Polisi Morogoro vs Yanga live updates

Polisi Morogoro vs Yanga live updates

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,089
Leo tarehe 24/01/2015 vpl polisi morogoro vs yanga. utapata kila kitu kutoka uwanja wa Jamhuri morogoro, mkolaj ndo nitahusika kwa kushirikiana na cnjona na makoye matale.

======
======
Matokeo ya Mwisho

Polisi 0 - 1 Yanga
 
Timu zipo uwanjani kwa ajil ya kuanza kipute
 
Mpira umeanza hapa jamhuri morogoro, polisi moro 0-0 yanga
 
Leo tarehe 24/01/2015 vpl polisi morogoro vs yanga. utapata kila kitu kutoka uwanja wa Jamhuri morogoro, mkolaj ndo nitahusika kwa kushirikiana na cnjona na makoye matale.
Mwanaume mzima utafuatiliaje mpira wa Bongo? Huna cha kufanya?
 
Six mwasekaga anaonesha kadi ya njano baada ya kutaka kumdanganya refarii ili apewe penati.
 
Mwanaume mzima utafuatiliaje mpira wa Bongo? Huna cha kufanya?

Wewe ndio hujui, kufuatilia mpira wa Bongo ndio starehe yake kaka, kwa nini kumchagulia mwenzio kipenda roho? Mpira wa Bongo unalipa sana kama hujui, jiulize kwa nini yule Bilionea kajenga uwanja binafsi, kwa nini watu wanatoana heshima sababu ya mpira huu huu wa Bongo.

Kipende chako kwanza kisha cha jirani.
 
Mwanaume mzima utafuatiliaje mpira wa Bongo? Huna cha kufanya?

Kuna ulazima wa kila mtu kupenda mpira wa ulaya!!!! uliupendaje mpira wa ulaya kama si kuanza kuona mpira uliokuwa unachezwa huko mtaani kwenu!?
 
Wewe ndio hujui, kufuatilia mpira wa Bongo ndio starehe yake kaka, kwa nini kumchagulia mwenzio kipenda roho? Mpira wa Bongo unalipa sana kama hujui, jiulize kwa nini yule Bilionea kajenga uwanja binafsi, kwa nini watu wanatoana heshima sababu ya mpira huu huu wa Bongo.

Kipende chako kwanza kisha cha jirani.

Ahsante sana kwa kumuweka sawa huyu mburula.
 
Refa anampa mshambuliajai wa polisi kadi ya njano bila sababu
 
Kona kuelekea upande wa polisi moro.
 
Refa anampa mshambuliajai wa polisi kadi ya njano bila sababu
Siku zote mtu yeyote anayedanganya huwa anatenda kosa, alimdanganya refa kama ametendewa makosa ilhali hajatendewa makosa hivyo anastahili kuadhibiwa.
 
timu polisi funga kandambili hao, ili utulivu tulio nao mtaani uendelee.
 
kocha wa yanga anaingia uwanjani hapewi hata onyo,maajabu haya
 
Haruna Niyonzima anaoneshwa kadi ya manjano
 
Tony Kavishe hakikisha hakuna nyavu kutikisika, na kama itakuwa hivyo na sisi wadau wa polisi hakuna kusikitika.
 
Back
Top Bottom