Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Tangazo toka kituo cha watekaji.
Sasa wewe leta utani wako kwa Mambo sirias maana wewe akili yako unaijuwa MwenyeweTangazo toka kituo cha watekaji.
Utani kwani sio watekaji?Sasa wewe leta utani wako kwa Mambo sirias maana wewe akili yako unaijuwa Mwenyewe
Acha kulichafua Jesi letu ambalo linaendelea kufanya kazi nzuri sana katika ulinzi wa Raia na mali zao. Kumbuka unalala salama na kuamka salama wewe na mali zako kwa sababu kuna askari wanaokesha usiku kucha wakikulinda wewe na mali zako na kupambana na wahalifu wa kila aina.Utani kwani sio watekaji?
Taarifa za vifo vya waliowaua wametoa?Luca umeshiba parachichi.Sasa wewe leta utani wako kwa Mambo sirias maana wewe akili yako unaijuwa Mwenyewe
Embu acha kuongea vitu ambavyo ukikamatwa na ukaambiwa utoe ushahidi huwezi kutoa. Usipende kutoa maneno mdomoni kwako bila kufikiri vyema.yatakuja kukugharimu sana siku moja.Taarifa za vifo vya waliowaua wametoa?Luca umeshiba parachichi.
Niwachafue kwani ni wasafi? Hawanilindi kama hisani, ni wajibu wao maana maana wanalipwa mshahara kutokana na kodi yangu. Kama huamini waambie waache kulinda uone watakula wapi. Ww mwanaccm ndio unapaswa kuwasifia polisk kwakuwa huwa wanawasaidia kukaa madarakani kwa shuruti kupitia wizi wa kura.Acha kulichafua Jesi letu ambalo linaendelea kufanya kazi nzuri sana katika ulinzi wa Raia na mali zao. Kumbuka unalala salama na kuamka salama wewe na mali zako kwa sababu kuna askari wanaokesha usiku kucha wakikulinda wewe na mali zako na kupambana na wahalifu wa kila aina.
Mmeanza kuogopa? Sasa tunasema haturudishi silaha ng'o! Nyie mkija kututeka mjue ama zenu ama zetu. Njooni tutoane jasho, mmezoea za kunyonga nyie, njoo mkabili za kuchinja muone kazi hapa!Polisi pia imethibitisha kwamba kuna ushirikiano mzuri kati ya wananchi na jeshi hilo, huku raia wakihamasishwa kutoa taarifa kuhusu shughuli zinazoshukiwa kuwa za uhalifu katika jamii zao.
Acha uoga Luca.Hapo ndipo unapoonekana mlemavu wa kichwa.Kumkumbusha mtu atoe taarifa ni uhaini?πππEmbu acha kuongea vitu ambavyo ukikamatwa na ukaambiwa utoe ushahidi huwezi kutoa. Usipende kutoa maneno mdomoni kwako bila kufikiri vyema.yatakuja kukugharimu sana siku moja.
Basi endelea kuongea vitu usivyo na ushahidi navyoAcha uoga Luca.Hapo ndipo unapoonekana mlemavu wa kichwa.Kumkumbusha mtu atoe taarifa ni uhaini?πππ