Polisi msilete ubaguzi na uchonganishi, "Gaidi mfia dini" ndio nani?

Mfano wale taliban unafikiri wanafia dini gani wale?
Taliban ni jamii iliyoamua kuishi kulingana na tamaduni na dini yao, hawana shida kabisa. Ndiyo maana USA baada ya kumuua Osama wakawa wamemaliza kazi. Taliban kosa lao lilikuwa kutumia dini kuua watu, mbona Oman etc ni nchi za kiislsm na wapo poa tu.
 
Sasa kama ni mfia dini ulitaka wamuiteje labda mkuu.
Watu wengi ni waoga ila haya mambo ni kama ugonjwa wa saratani. Ukishakuingilia mwilini lazima ujaribu kuutibu hata kama matibabu yake yanakuletea maumivu, wakati mwingine mpaka viungo vya mwili inabidi vikatwe ili mgonjwa apone, na yanachukua muda mrefu. Lakini usipojaribu kuutibu, huo ugonjwa utasambaa mwilini na mwisho wake utakuua.
 
Mfia dini sio!?.. Zile heineken zilikuwa juice na zile totoz ilikuwa migomba ile...?
Au labda alikuwa na dini lake moja kubwa hivi akaamua bora kulifia kuliko kulikosa
 
Magaidi huwa wanauwa raia. Wakiwa jeshi ama polisi, huwa ni kwasababu wanawazuia wasitekeleze ni yao ya kuuwa raia. Hamza hakuwa na nia ya kuuwa raia.
Kwani polisi sio Raia?
Au Raia Ni Nani?
By the way Nani kasema gaidi mpaka aue Raia Tu?? Akilenga wanasiasa Na viongozi sio gaidi?
Hiv mbn mnatunga videfinition vya ugaidi ili kumtetea mfia Dini?
 
Oman nchi ya kiislamu kakuambia nani? Omani ni wapingaji wa huo uislam labda elimu yako tu haiwez kuwaelewa....! Oman dola inayotawala pale wanaitakid qoran tukufu ni kiumbe kimeumbwa...! Hili linawatoa kabisa kwenye uislamu
 
Wasomali wanao ishi nchini inapaswa wafuatiliwe nyenendo.zao maana baadhi yao wana uhusiano au mawasiliano na ndugu zao Alshababu wa Somalia.
Hamza ni kielelezo naamini wapo wengine pia wenye tabia kama za Hamza.
 
Wasomali wanao ishi nchini inapaswa wafuatiliwe nyenendo.zao maana baadhi yao wana uhusiano au mawasiliano na ndugu zao Alshababu wa Somalia.
Hamza ni kielelezo naamini wapo wengine pia wenye tabia kama za Hamza.
Kua na uhusiano na ndugu zako au mawasiliano nao ndo kua na tabia kama zao? Very funny,may the Almighty lead the world tuwe tunatumia akili alizotugaia bure tuchanganue vitu instead of kufuata mkumbo au for hate.
 
Naona unajaribu kupaka kinyesi perfume.
 
Kua na uhusiano na ndugu zako au mawasiliano nao ndo kua na tabia kama zao? Very funny,may the Almighty lead the world tuwe tunatumia akili alizotugaia bure tuchanganue vitu instead of kufuata mkumbo au for hate.
Hamza ni ushahidi tosha.
Hamza alikuwa na ndugu na marafiki huko kwao Somalia na maeneo mengime hatujui aliwaambukiza kwa kiasi gani vitendo vya kigaidi, hivyo ni muhimu sana kufuatilia nyenendo za wasomali popote pale walipo.
Hapo maeneo ya K.Koo wamejaa kama njugu na wengine mipango yao haieleweki, kila kukicha idadi yao inaongezeka na shughuli zao hazieleweki.
 
Ngoja Shelhk Ponda Issa aje afafanue
 
Wasomali wote ni wana CCM ndiyo shida ilipo
 
Na ndo hapo inapokuja point ya mtu anapoamua kuishi maisha ya aina Fulani haimaanishi kwamba eti dini anayoifuata waumini wake wote wako kama yeye,kusema uislam na waislam wote kwa matendo ya baadhi yao siyo sawa,watu waache chuki na kutumika, smh.
 
Wasomali wote ni wana CCM ndiyo shida ilipo
Gaidi ni Gaidi tu haijalishi, anaweza akawa mwana CCM au Chadema, anaweza kuwa mwisilamu au Mkristo au anaweza asiwe na dini wala chama lazima ashughulikiwe kikamilifu.
Wasomali ambao Shughuli zao zinatia mashaka lazima wafuatiliwe na wachunguzwe kwa karibu kwa usalama wa Taifa letu.
lakini pia mtu yeyote yule anaye jihusisha na vitendo vya kigaidi lazima achukuliwe hatua kali za kisheria.
 
Waguse uone moto mkuu
 
You are already brainwashed huwezi kukubaliana na facts,kama alikua gaidi mbona hakuua wananchi wote aliua polisi tu? Gaidi hua anachagua wa kuua? hao wasomali kujazana kwao kariakoo ndo ushahidi ni magaidi au unawajua kiundani mpaka useme shughuli zao hazieleweki? Hamza hakua sawa kuua polisi lakini it doesn't mean ndo dhulma aliyofanyiwa ni sawa au ndo he should be targeted as gaidi,tuseme kweli,tuache double standards na religion hate,try love,hate will destroy you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…