Polisi msithubutu kuvuruga Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA kwa visingizio vya Uchochezi, hamtaeleweka na yeyote

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hao mnaopanga kuwakamata hawajaanza leo kuzungumza kuhusu hela za Abdul, kwanini leo?

Mnataka kuvuruga uchaguzi huo ili iweje, na kwa faida ya nani?

Lengo lenu ni kuchafua upande mmoja ili ionekane wanatumia dola, Hatutaki huo ujinga, Tafadharini sana, Acheni hayo mambo, Watu wameanza kutukana muda mrefu mno lakini mliwaangalia tu huku mkikenua meno, Why Now?

Tumewastukia kirahisi sana!
 
Mwambie sultan Mbowe aachie kitu, kitaa hakimuelewi
 
Hao mnaopanga kuwakamata hawajaanza leo kuzungumza kuhusu hela za Abdul, kwanini leo?

Mnataka kuvuruga uchaguzi huo ili iweje, na kwa faida ya nani?

Lengo lenu ni kuchafua upande mmoja ili ionekane wanatumia dola, Hatutaki huo ujinga, Tafadharini sana, Acheni hayo mambo, Watu wameanza kutukana muda mrefu mno lakini mliwaangalia tu huku mkikenua meno, Why Now?

Tumewastukia kirahisi sana!
Akamatwe na Lissu aje aachiwe tarehe 10/02/2025!
 
Lissu anakamatwa kwa uchochezi , then story inaisha kwa kwa namna hiyo uchaguzi unakua mbovu
 
Mboweism imefail kukamata Watanzania this time, Mboweists wanahaha hawana pa kutokea wamebaki kujilizaliza.

Watanzania si wajinga tena
 
Mbowe bado wana Chadema tunamhitaji sana, Tundu Lissu asubiri kwanza, ajifunze busara na hekima ya uongozi..!!
 
Hao mnaopanga kuwakamata hawajaanza leo kuzungumza kuhusu hela za Abdul, kwanini leo?

Mnataka kuvuruga uchaguzi huo ili iweje, na kwa faida ya nani?

Lengo lenu ni kuchafua upande mmoja ili ionekane wanatumia dola, Hatutaki huo ujinga, Tafadharini sana, Acheni hayo mambo, Watu wameanza kutukana muda mrefu mno lakini mliwaangalia tu huku mkikenua meno, Why Now?

Tumewastukia kirahisi sana!
wewe ni nani huko chadema!
 
Back
Top Bottom