Polisi msithubutu kuvuruga Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA kwa visingizio vya Uchochezi, hamtaeleweka na yeyote

Hao mnaopanga kuwakamata hawajaanza leo kuzungumza kuhusu hela za Abdul, kwanini leo?

Mnataka kuvuruga uchaguzi huo ili iweje, na kwa faida ya nani?

Lengo lenu ni kuchafua upande mmoja ili ionekane wanatumia dola, Hatutaki huo ujinga, Tafadharini sana, Acheni hayo mambo, Watu wameanza kutukana muda mrefu mno lakini mliwaangalia tu huku mkikenua meno, Why Now?

Tumewastukia kirahisi sana!
IMG-20250111-WA0045.jpg
 
Great Mkuu
 
Siku hizi kujinyenyekeza kwa viongozi majizi wa ccm ndio huitwa busara. Lisu hana muda heshima za kinafki.

Kwa hiyo ww humpi support Mbowe, sbb tu Mbowe ni bora zaidi ya Lissu kwa Uongozi Chadema, sijasema Mbowe is the best, nachosena ukiwaweka Mbowe na Lissu umchague mmoja, bora mara 100 Mbowe.
 
Mpe Mbowe ni haki yako boss.
 
Back
Top Bottom