Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Yaani Lissu aende CCM kwa Mbowe!?Wewe no ka saliti! Yaani mara hii umetugeuka? Lissu hapati kitu! Mtahama naye akienda CCM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Lissu aende CCM kwa Mbowe!?Wewe no ka saliti! Yaani mara hii umetugeuka? Lissu hapati kitu! Mtahama naye akienda CCM?
Hao mnaopanga kuwakamata hawajaanza leo kuzungumza kuhusu hela za Abdul, kwanini leo?
Mnataka kuvuruga uchaguzi huo ili iweje, na kwa faida ya nani?
Lengo lenu ni kuchafua upande mmoja ili ionekane wanatumia dola, Hatutaki huo ujinga, Tafadharini sana, Acheni hayo mambo, Watu wameanza kutukana muda mrefu mno lakini mliwaangalia tu huku mkikenua meno, Why Now?
Tumewastukia kirahisi sana!
Great MkuuHao mnaopanga kuwakamata hawajaanza leo kuzungumza kuhusu hela za Abdul, kwanini leo?
Mnataka kuvuruga uchaguzi huo ili iweje, na kwa faida ya nani?
Lengo lenu ni kuchafua upande mmoja ili ionekane wanatumia dola, Hatutaki huo ujinga, Tafadharini sana, Acheni hayo mambo, Watu wameanza kutukana muda mrefu mno lakini mliwaangalia tu huku mkikenua meno, Why Now?
Tumewastukia kirahisi sana!
Siku hizi kujinyenyekeza kwa viongozi majizi wa ccm ndio huitwa busara. Lisu hana muda heshima za kinafki.
Mpe Mbowe ni haki yako boss.Kwa hiyo ww humpi support Mbowe, sbb tu Mbowe ni bora zaidi ya Lissu kwa Uongozi Chadema, sijasema Mbowe is the best, nachosena ukiwaweka Mbowe na Lissu umchague mmoja, bora mara 100 Mbowe.