Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Akina chiembe,Tlaatlaah,Magonjwa,Lucas na wafadhili wao wameshaanza hizo chokochoko.Hivyo nimuhimu kuendelea kuona nyendo na mawazo yao kabla yamuda kupita mwingi.Hao mnaopanga kuwakamata hawajaanza leo kuzungumza kuhusu hela za Abdul, kwanini leo?
Mnataka kuvuruga uchaguzi huo ili iweje, na kwa faida ya nani?
Lengo lenu ni kuchafua upande mmoja ili ionekane wanatumia dola, Hatutaki huo ujinga, Tafadharini sana, Acheni hayo mambo, Watu wameanza kutukana muda mrefu mno lakini mliwaangalia tu huku mkikenua meno, Why Now?
Tumewastukia kirahisi sana!