Polisi msithubutu kuvuruga Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA kwa visingizio vya Uchochezi, hamtaeleweka na yeyote

Gentleman,
kwahiyo timu yenu mmebaki na matusi na kutukana tu? halafu watukanaji wakuu ndio wanakamatwa au sijaelewa?🐒
 
Naunga mkono hoja.
 
Wanasema ni kusambaza taarifa za uongo kwenye mtandao wa X
noted nimesoma....... kuna mahali nimesoma mambo ya abdul. Nahofia na Lisu anaweza kuface the same fate! if this is o what next?
 
Hayo matusi ni vizuri ukayaweka hadharani tuyafahamu.
Maana hapa tz mtu akiambiwa ukweli anasema anatukanwa,anataka aambiwe kwa kumpambapamba.
Huu mtego wa kijinga naona na wewe unauingia. Unataka kuwa kama wale machawa wa ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…