Polisi: Mwili wa Hamza tumeshaufanyia kazi

Muulize yule aliyeumiminia Risasi hata baada ya kuanguka
 
Wanachukua vipimo vya DNA, ndugu wanaogopa kuja wana wasiwasi kwamba siro atawakamata awahoji huenda familia nzima imejipanga kufanya matukio ili wawaweke kwenye redcard ya uchunguzi wa kina pia watawafuatilia nyendo zao. sasa hapa sidhani kama watakuja na wakija watapimwa DNA kutaka kujia ni damu moja au la. Kumbuka kuna maneno aliyo yazungumza waliokuwa kwenye daladala walirekodi. KUna mzee mmoja kula mtwara yuko tayari chini ya ulinzi wa polisi siku ya 4 sasa harhusiwi kuonana au kuongea na yeyote
 
Huyo mzee kafanya nini hadi kawekwa chini ya ulinzi?
 
punguza udini utakufelisha kwenye mambo yako ya msingi...
 
Mkunduuu wako. Mana huo sio mdomo
 
Bongo nyoso
 
Lakini najiuliza huu mwili polisi wanaufanyia kazi gani, mtu keshakufa kinachofata ni kuzika police wana kazi gani tena nao, wajuvi naomba nijuzeni
Mambo mengi

  • Chanzo cha kifo (risasi zilimpata wapi etc)
  • Alipigwa risasi ngapi?
  • Kama alikuwa na vilevi au madawa mwilini mwake (usikute ni zile Kvanga za Wachina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚)


Wenzetu wakati mwingine wanachunguza mpaka ubongo wake.... Mambo ni mengi
 


Mchuma janga hula na wakwao!

Ni vizuri familia ziwe zinaonyana na kuendelea kufundishana na kuepuka uovu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…