Polisi: Mwili wa Hamza tumeshaufanyia kazi

Polisi: Mwili wa Hamza tumeshaufanyia kazi

hawa wanatafuta chambo.
watakao kwenda kuchukua marehemu kwa wa weka kwenye list ya maneno ya ugaidi.

hii inatokea sana kubebwa mfano jambazi kuzikwa kuna kuwa na polisi wa kutosha.

hapa watajazwa askari kanzu na mashushu watu wajikute wanapata tiketi za kubeba mzigo wa marehemu hamza.

maana wanajua wanachi wameshangilia sana kwa bahati mbaya hawana mtuumiwa
Mimi ningekuwa ndugu yake ningeenda .. huku nikijitangaza ili wakose cha kufanya
 
Jina hamza tu na dini yake inatosha na kusema ni ndugu wa kila muislamu hivyo ningetoa tu wito kwa waislamu wote wa upanga hasa masjid maaamur kujitokeza kwenda kumpumzisha mwenzetu kwa taratibu za dini.
inna lilah wa inna lilah rajuun
Kuna kitu nakifikiria nje ya box...asante Mkuu kwa ufafanuzi
 
Na huu ni uonevu mwingine utakaoongeza chuki dhidi yao. Mtoto (mtu mzima wa zaidi ya miaka 18 na anaisha maisha ya kujitegemea) afanye kosa, mzazi na ndugu wawajibishwe??!! Ni kwa sheria ya wapi jamani?. Mbona inakera, kukasirisha na kusononesha pia? Hao ndugu ndio waliomtuma Hamza kufanya alichofanya??
Rejea wiki mbili polisi walipotangaza ajira.
Qualification Ni div foo
 
Post mortem kwa maiti isiyojulikana chanzo cha kifo. Kwa aliyeuwawa kwa risasi nyingi tena na wao wenyewe post mortem ya nini??!!
Huyo jamaa ni mkurupukaji sana hadi aibu aisee.

🤣🤣🤣🤣
 
Nimemsikia kamanda Sirro anasema mwili wa Hamza washaufanyia kazi ndugu waende wakauchukue wasiopouchukua utazikwa na City

Lakini najiuliza huu mwili polisi wanaufanyia kazi gani, mtu keshakufa kinachofata ni kuzika police wana kazi gani tena nao, wajuvi naomba nijuzeni
Au unaweza kuta hamza ni part ya plan na zile risasi hazikumuua ila ilikua maigizo. Na baada ya tukio hamza akanyanyuka akaenda kupewa chake akasepa somalia. End of the game[emoji12].
 
Huyo jamaa ni mkurupukaji sana hadi aibu aisee.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au unaweza kuta hamza ni part ya plan na zile risasi hazikumuua ila ilikua maigizo. Na baada ya tukio hamza akanyanyuka akaenda kupewa chake akasepa somalia. End of the game[emoji12].
 
So wakienda kuchukuwa huo Mwili ...do you know Nini Kitatokea...Community Impact..

Fikiria nje ya box
Au unaweza kuta hamza ni part ya plan na zile risasi hazikumuua ila ilikua maigizo. Na baada ya tukio hamza akanyanyuka akaenda kupewa chake akasepa somalia. End of the game[emoji12].
 
Back
Top Bottom