Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Nmemsikia kamanda Siro anasema mwili wa Hamza washaufanyia kazi ndugu waende wakauchukue wasiopouchukua utazikwa na City
Lakini najiuliza huu mwili polisi wanaufanyia kazi gani, mtu keshakufa kinachofata ni kuzika police wana kazi gani tena nao, wajuvi naomba nijuzeni
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
sirro ni wa kumpuuza mda mwingi anakuwa amelewa