Polisi: Mwili wa Hamza tumeshaufanyia kazi

Polisi: Mwili wa Hamza tumeshaufanyia kazi

kwenye clip ile analalamika kuwa wenzake wameuawa, kumbe inawezekana magaidi wengi sana wamedhibitiwa na polisi, na yeye alikuwa anawafahamu na kilikuwa kinamuuma. sasa mbona na ubonge wake wote ule bado alikimbia bomu la machozi akatoka nje, jinga sana yule, na alivyopigwa risasi alidondoka kama boga. moja kwa moja motoni na angepewa nafasi kurudi angewasaidia sana wenzie wanaoamini kuna mabikira 72 manake huko kakuta tu moto na shetani.

Husiukumu maana hujui mwisho wako , pili police wajitazame waache dhuruma
 
Inatakiwa twende kumzika Hamza maelfu kwa maelfu hili kutoa ujumbe kwa magaidi police kuwa hatuwataki tunao uwezo wa kujilinda kwa masungusungu & matunguli

Wangekuwa wazima wangemkamata akiwa hai
 
Husiukumu maana hujui mwisho wako , pili police wajitazame waache dhuruma
kwahiyo ninyi watu mnataka watu wote wapate dhamana, hata magaidi kama huyu pia wapate dhamana? imagine unaishi mtaani na jamaa kama lile, mnataka kuirudisha nchi iwe kama somalia?
 
Acheni chuki na uislamu.
kama uislam ni kama alichokuwa anafanya hamza, kwakweli samahani sana,...ila kama hamza hakuwakilisha dini ya kiislam hapo sawa. sisi tunamjadili hamza wewe unasema tuache chuki na uislam, kwani dini ilimruhusu kufanya vile, na kama ingekuwa inaruhusu (sijui kama inaruhusu) basi dini hiyo itakuwa mbaya sana.
 
kosa umekimbilia chooni kukojoa ukajikuta unakunya.

kama alisema “ wenzake wameuawa”

kwani yeye sio mtanzania na alikuwa chama gani si ccm.

walikufa bila kujulikana wangapi. !

yeye alikuwa mfanya biashara wa madini.

unakumbuka wafanya biashara wa madini ya maenge kule morogoro !

kuna mda uwezi kupata mtu kukufikishia ujumbe kwa hasira.!

au umemuona kuwa na hasili ya kisomali.

leo wangapi wakijaji serekali na utawala wanaelezwa kuwa sio watanzania !


kuna mda bora kaa vizuri na mke wako kujua baba wa mtoto wako.
kwenye clip ile alisema siro ameua waislam, sasa sijui ndio walikuwa wachimba madini. tuache tusijadili sana hata hivyo.
 
Hii si inafanyika ikiwa mtu haijulikani kimemuua nini? Uyu si kapigwa risasi inafaamika.
kisheria ni lazima, pia wanataka kujua kwa mfano, risasi zilicharanga maini, utumbo mdogo, moyo au utumbo wa ambaruti.
 
Nimemsikia kamanda Sirro anasema mwili wa Hamza washaufanyia kazi ndugu waende wakauchukue wasiopouchukua utazikwa na City

Lakini najiuliza huu mwili polisi wanaufanyia kazi gani, mtu keshakufa kinachofata ni kuzika police wana kazi gani tena nao, wajuvi naomba nijuzeni
Labda washapita na figo.
 
Back
Top Bottom