Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

It’s very wrong kuandika mwili wa Mzee mangula wakati yuko hai. Uandishi umevamiwa ama kiswahili kiko matatani
 
Kitaalamu, miili yetu wote kama binadamu huingiwa na sumu tunapokula na kunywa, na miili ina mechanism na viungo vyenye kazi kuchakata hiyo sumu na kuitoa mwilini kupitia njia asilia. Hapa ielezwe sumu hiyo ni ya aina gani na kiwango gani ndiyo muhimu. Pole kwa babu.
 
Vipi hii sumu angepewa mnyika tuhuma humu ndani angerushiwa nani?
 
Wameanza kuchokoana wao kwa wao ndani ya kitengo.

Soon watamalizana wao kwa wao kwa visasi

Mungu wetu ni mwema sana
 
Nilichojifunza kwenye siasa za nchi hii, ukienda kwenye mkutano wowote wa kichama usithubutu kunywa maji au chakula kilichoandaliwa mezani, viache kama vilivyo.
 
Kama hujui kiswahili sanifu rudi darasani ukafundishwe naona unapagawa na lugha, hahahaha
Kila neno linamatumizi yake na hutanguliwa na neno ili lilete maana inayokusudiwa.kwa ulivyoliweka maana yake ni hiyo labda urekebishe post yako.hapa kiswahili ndio pake,hiyo ni tungo tata,nimetafsiri nilivyoelewa mimi
 
Ansbert Ngurumo

Zimewatoroka:
"Wanatengeneza mtu" kama wakati wa mkasa wa Dk. Ulimboka. Atajitokeza au watadai kajisalimisha. Atadai alitumwa na mtu fulani ili amlishe sumu Mangula. Watatajwa na wana CCM kadhaa. Watakamatwa na kuhojiwa. Sasa wanamlaumu Mambosasa kwa kukosea uwasilisha wa taarifa
 
Duuh....haya mambo ya kutekana na kuuana yakizoeleka matokeo yake ndo haya sasa...Kutokuwepo kwa uvumilivu wa kisiasa na maoni tofauti ni ishara kubwa ya umaskini wa akili.....Watu wameshindwa kuvumilia wapinzani na mpaka ndani wanashindwa kuvumiliana...Nobody is safe..maovu yalipaswa kukemewa kwa uwazi..yakinyamaziwa ni kama cancer utaingia mpaka ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom