Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Akurwa ndo sahihi?M/Mwenyekiti wa CCM, Mzee Philipo Mangula akurwa na dalili za sumu. Sio mwili!. Neno mwili linatumika kwa the deceased!.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akurwa ndo sahihi?M/Mwenyekiti wa CCM, Mzee Philipo Mangula akurwa na dalili za sumu. Sio mwili!. Neno mwili linatumika kwa the deceased!.
P
Unanikumbusha movie ya The dictatoradmiral aladeen wa WADIYA REPUBLIC
Sent from my iPhone using JamiiForums
sio Askari polisi aliyesoma miezi sita CCP Moshi, anayevaa "jungle" na staff shoes.
Kweli.. Wanazua taharuki kwa kuandika hivyoIt’s very wrong kuandika mwili wa Mzee mangula wakati yuko hai. Uandishi umevamiwa ama kiswahili kiko matatani
Kila neno linamatumizi yake na hutanguliwa na neno ili lilete maana inayokusudiwa.kwa ulivyoliweka maana yake ni hiyo labda urekebishe post yako.hapa kiswahili ndio pake,hiyo ni tungo tata,nimetafsiri nilivyoelewa mimiKama hujui kiswahili sanifu rudi darasani ukafundishwe naona unapagawa na lugha, hahahaha
Haaa haaa mkuu umenichekesha, y ugoro mbichi na siyo kala tango pori??