Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Mshukiwa wa kwanza ni membe
Kikao cha maamuzi yaliyovuta pande mbili Membe hakuwepo. Hivyo waanzie kwa kikao chenyewe. Kumbuka Membe alihojiwa Dodoma na wenzake Lumumba na kikao cha maamuzi ni Lumumba muda ukiwa umepita.
 
Sio kila kitu polisi waseme. Hilo suala la kidaktari ilishindikana nini daktari akaongelea hilo tena huwenda angekuja na maelezo ya kitaalamu zaidi.

"Polisi wameelezea namna mkazi wa Buza alivyoshinda Jackpot"
Nahisi hata hao madaktari wanamshangaa sana kwa hii report manake sifikiri kama madaktari wangeeleza tatizo la mgonjwa hadharani
 
Umafia umekolea kijanini cheee!! Ivi alikuwa upanda wa kutetea makatibu kina kinana na makamba hivyo pia kwa membe au?
 
Cheap propaganda what kind of poison was that? ili tuanze kuchambua njia gani ilitumiwa kumnasa victim ambae ni Mangula.



Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda waliona Mzee Mangula anapinga upuuzi wao wakataka kumwuondoa.

Mungu ni mwema.

Mzee huyu afike mahali ajiweke pembeni ili Jiwe aendelee kuchafuka peke yake.
Mbona hata hapo anaonekana uzee unamkabili kwa kukosa nguvu ?
Itakua labda ni ile sumu inayosemwa siku zote ya mavyakula ya viwandani na kula makuku ya kisasa.
Sidhani kama ni sumu aliyowekewa kama sumu ya panya au nyongo ya mamba.

Tunazidi kuutangazia ulimwengu kuwa usalama wa uhai wa binadamu haupo salama nchini mwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MOSHIFST, Nafikiri ni vizuri sasa Viongozi wa dini zote waombee Haki itendeke kwa wote lakini pia hukumu ya haki iwe juu ya watanzania na laana iwe juu ya wale wanaodhulumu nafsi na haki za wengine kupitia madaraka waliyopewa.

Tuwaombee afya njema viongozi wanaotenda haki na wenye nia njema kwa Taifa letu lakini tuwaombee pia laana wale wanaodhulumu ili Mungu azidi kuheshimiwa na kuogopwa na wote.

Mzee Wetu anakipenda sana chama Dola kuliko hata anavyoipenda nchi yetu na Taifa letu kwani chama Dola ndicho kinachompa maisha bora kabisa. Pokea uponyaji mzee wetu wa chama.

Tunakuombea upate ile tiba ya wachina ya kukanyaga na kutoa sumu Mwilini. Watanzania wengi sana itakua wana sumu Mwilini inayotokana na mavyakula na makemikali tunayokula kila siku.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana pia ikawa amekula au aumekunywa kinywaji ambacho alikusudiwa kupewa mtu mwengine. Just thinking out loud, thats all

Kama niko sahihi, kwenye kikao alichodondoka Mangulla, waliokuwepo kuhojiwa ni mzee Makamba na SHIFTA!!! Mzee Makamba aliomba radhi na Membe hakuwepo kwani yeye alihojiwa Dodoma; mtu ambae alibaki kuKOLIMBWA si mwingine bali ni SHIFTA, hivyo hiyo sumu kwa Mangulla ilipotea njia!
 
Kama niko sahihi, kwenye kikao alichodondoka Mangulla, waliokuwepo kuhojiwa ni mzee Makamba na SHIFTA!!! Mzee Makamba aliomba radhi na Membe hakuwepo kwani yeye alihojiwa Dodoma; mtu ambae alibaki kuKOLIMBWA si mwingine bali ni SHIFTA, hivyo hiyo sumu kwa Mangulla ilipotea njia!
SHIFTA? Fungua code mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi ikiwa uandishi na uwasilishaji haujakosewa, wanaposema “mwili wa Mzee”..... kwanini usiwaze kuwa huenda tayari RIP..?
Nashukuru, Moderators wameona malalamiko yangu...na wameyafanyia kazi. Heading sasa haina utata.
 
Viongozi wangapi wamefanyiwa umafia na mnafichaficha?kwanini hii iwe wazi hivi?ni lazima kuna agenda tu nyuma ya pazia.
Inonesha katika sakata hili alikusudiwa Magu.
Aliyetakiwa kusoma maamuzi ya kamati kuu ni mwenyewe Mkulu,
Lakini akaamua ampe makamu wake asome maamuzi kwa ni aba yake.
Ina maana ,kama angalikwenda mwenyewe Mkulu agelekuwa victim wa tukio la kuanguka kikaoni.

Nakumbuka Zanzibar,Aliyekuwa Katibu wa CCM zanzibar Alifia kikaoni ghafla alianguka,
(nadhani anaitwa Salmini Awadhi).
Hivyo ndivyo ccm ilivyo.
Hata Kolimba haliilikuwa kama hivyo.
Sasa hawa yawezekana walimkusudia Mzeeee na sumu yao,kwa bahati ikamkaimu Makamo Magula
1583928957799.png
 

Attachments

  • IMG_7920.JPG
    IMG_7920.JPG
    33.9 KB · Views: 3
Dhambi ikikomaa huzaa mauti, CCM ifumbe macho izihesabu dhambi zake ilizofanya kwa watu, vikundi na mataifa mengine ione kama dhambi hazijakaribia kukomaa.
 
Msitafute mchawi hana tishio lolote huyo mzee! Kila mtanzania hasa wabongo Darisalama wana sumu mwilini mwao, inayozalishwa kwa ajili ya kukaa kwenye Mazingira mabaya, hatari, na machafu, yasiyo salama, kama keko Magurumbasi, karibu tu na hapo lumumba, Jiji gani linakuwa na cholera mwaka mzima? tena wilaya iliyoko Ikulu?

Viongozi wanajidanganya wakidhani kuwa wao wako salama sana, na majanga! kumbe dhambi ya uzembe inawatafuna angalia sasa! wanavoadhirika huyu kafakamia samaki (Sato) wa Mwanza waliowekewa Formalin nyingi kupita kiasi,kwenye kikao! akashushia na maziwa ya kutoka gongo la mboto!

Bongo yenu, ni hivi; chakula kibaya, kisicho zingatia ubora wa kanuni za afya, km Ngano mbovu, Vibudu vya ng'ombe wanaojifia Pugu mnadani, nyama za kuku mfu kutoka Pollo Amadori, samaki waliopuliziwa dawa za kutunzia mahiti (Fomalin) ili wasiharike haraka wakati wanasafirishwa!

Maziwa ya ng'ombe waliodungwa Sindano muda huo huo, kikawaida inatakiwa ichukue siku 4-7, ndo ukamue, matumizi ya maji ya visima vifupi, vinyesi vitupu, hasa kwa Aziz ally, Kipawa, Mbagalla, Temeke wailles,Salasala nk, wakati water table iko juu juu ya kiwango kisichotakikana kitaalamu!

Uoga wa ukosefu wa hela na mafanikio binafsi, vibaka, kuvamiwa, kupoteza madaraka, majanga km haya kwa binadamu huzalisha kemikali mbaya sana mwillini aina ya Adrenalin , hii huwa sumu baada ya muda. unaweza pata magonjwa kama, Renal failure, BP, IDDM, Sudden death, Herpes zoster nk.

Sumu ya kweli asingebaki salama aombe hata maji? muangaliege!
Mnaishi na kuwa hai kwa kudra za mwenyezi Mungu, na Hospitali zenu mbovu hizo zenye magonjwa tele., hajakimbizwa South?
 
Back
Top Bottom