Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Naaaaaam naona kila MTU atafikiwa Tu. Ni suala la Muda Tu. Hapa ni Tanzania Prisons wakiwa wamezuiliwa Iringa kwa kosa la Overspeeding, normal speed ilitakiwa iwe 80km/HR yeye kaendesha kwa 85km/HR. Wakamdaka kuanzia saa tano asubuhi Hadi jioni.
Jamaa wa Prison anapiga mkwara kuwa very soon Polisi "watawaelewa" Tu. Naam kama huna bando la mawazo angalia video hapa.
Jamaa wa Prison anapiga mkwara kuwa very soon Polisi "watawaelewa" Tu. Naam kama huna bando la mawazo angalia video hapa.