Polisi na Magereza watunishiana Msuli Iringa

Sasa wote si polisi? Na wote ni product ya CCP πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna agenda zinasukwa kwa kas sana kuelekea 2025...

Wazir wa Utumish kaa chonjo πŸ˜‚
Mkuu, Waziri wa Utumishi anahusikaje hapo?
 
Inawezekana Na Wao Walikataa Kutoa Faini Wakiamini Watabebana Kimamlaka
 
Polisi ni viumbe wa ajabu sana

Nadhani wanalaana viumbe hawa

Nawaza sana huko kwenye mafunzo yao kuna madawa yakuwafanya wawe kama mazombi.
Mkuu, tatizo ni recruitment ya hao watumishi ambao wengi wao wanaanzia mgambo/bluegaidi
 
Haha si niliwaambia watu humu kuwa huyu jamaa nidhamu Hana na nkasema kuwa ladhima hatua za kinidhamu zitachuliwa juu yake.

Shida ya watu humu JF ni wanaongea kihisia kuliko uhalisia Polisi walikuwa kwenye haki na ndo maana hata Mkuu wa Jeshi l Magereza(CGP) kamchukulia hatua mwamba Kwa kuropoka ubwabwa

Halafu kumbe ni mkaguzi msaidizi halafu nidhamu yake ndo Ile basi wafungwa kazi wanayo
 
RTO hapa kakosea kabisa, 85 km/hr alafu Bus la timu ya Magereza ilikuwa 90km/hr na kawashika, hapa busara haijatumika kabisa, huyo RTO naamini atatumbuliwa siku 1 au 2 zijazo, hao ni askari wenzake hakutakiwa kufanya hivyo.
Tatizo la nchi yetu ni double standards. Sheria hio hio inamhukumu raia ila mkuu wa polisi akiivunja panabakia kimya tu
 
Hilo ongezeko la speed ni dogo sana.. Kwenye makosa ya barabarani liko kwenye daraja la makosa madogo( minor offence) na adhabu yake ni KUONYWA kwa mdomo
 
Labda wanafikiri waliwapigia kura Upinzani.
 
Huyo RTO kafanya kazi nzuri juzi tu ilitokea ajali ya wabunge hapa.

Hao magereza wangepata ajali je.?

Tujifunze kufuata sheria maswala la sijui magereza , sijui nani na hufuati sheria iwe mwisho.
 
Inasemekana walikuwa wanasimamishwa post nyingi na hawasimami. Naona iringa waliwaweza
 
Huyo RTO kafanya kazi nzuri juzi tu ilitokea ajali ya wabunge hapa.

Hao magereza wangepata ajali je.?

Tujifunze kufuata sheria maswala la sijui magereza , sijui nani na hufuati sheria iwe mwisho.
Huyo RTO atakupa ze RPC muda c mrefu
 
Hapo wangekuwa sasa ni JWTZ wanapita na gari yao! Polisi wasingethubutu kabisa, wangekaa mbali kabisa!
Huwa tena najiuliza hivi yale Magari ya Ikulu yakiwa kwenye msafara wa Viongozi wa nchi yanavyokimbizwa huwa Trafic wanaweza kuthubutu kuyasimamisha?
 
RTO hapa kakosea kabisa, 85 km/hr alafu Bus la timu ya Magereza ilikuwa 90km/hr na kawashika, hapa busara haijatumika kabisa, huyo RTO naamini atatumbuliwa siku 1 au 2 zijazo, hao ni askari wenzake hakutakiwa kufanya hivyo.
Wamevunja Sheria lazima wawajibishwe.
 
Kikosi Maalum Cha Kutuliza Ghasia Magerezani (KMKGM) vs (FFU) Fanya Fujo Uone Field Force Unit

Tujue nani mwamba Magereza vs Polisi kupitia vikosi vyao maalum KMKGM vs FFU
Draw. Majeruhi sawa pande zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…