Polisi na Magereza watunishiana Msuli Iringa

Polisi na Magereza watunishiana Msuli Iringa

Sasa wote si polisi? Na wote ni product ya CCP 😂😂

Kuna agenda zinasukwa kwa kas sana kuelekea 2025...

Wazir wa Utumish kaa chonjo 😂
Mkuu, Waziri wa Utumishi anahusikaje hapo?
 
Ni aibu sana kuona.jeshi kwa jeshi wanasumbuana kiasi hiki - tena wizara moja.Lkn huu ni ushindi kwa wapenda haki - huu ni mpango wa Mungu - It means hata wenzao wameanza kuona jinsi polisi wanavyozingua na kufanyakazi bila ufanisi.
Zaidi ni visasi na hisia..kwa nini wasiwapige fine kama sheria inavyosema na wakaendelea na safari yao??
Polisi ni kama bomu - ipo siku litalipuka tu...
Inawezekana Na Wao Walikataa Kutoa Faini Wakiamini Watabebana Kimamlaka
 
Polisi ni viumbe wa ajabu sana

Nadhani wanalaana viumbe hawa

Nawaza sana huko kwenye mafunzo yao kuna madawa yakuwafanya wawe kama mazombi.
Mkuu, tatizo ni recruitment ya hao watumishi ambao wengi wao wanaanzia mgambo/bluegaidi
 
Huyu anaitwa A/Insp Bright Mbwilo, kwa maelekezo ya Afande CGP, kishavuliwa Nafasi ya uongozi wa timu leo asubuhi, pia karudishwa kituoni kwake, na hadi jioni hii maktabu imeanza dhidi yake.

Ameongea kihanarakati zaidi kuliko Nafasi yake kama mtendaji ndani ya serikali. Alishindwa kukemea mwendo mbaya wa Dereva wake wa spidi 125 kwa mujibu wa VTS

Alishindwa kumuelekeza Dereva wake kusimama aliposimamishwa na askari wa barabarani Kuanzia huko Kagera.

Huyu hatambui kuwa awapo barabarani yeye ni abiria tu na marehemu mtarajiwa wa ajali za barabarani

Huyu mkaguzi haelewi kuwa jukumu la TRAFIKI ni kudhibiti mwendo wa ovyo na kuzuia ajali. Na ndicho kilichokuwa kinatekelezwa hapoView attachment 3172062
Haha si niliwaambia watu humu kuwa huyu jamaa nidhamu Hana na nkasema kuwa ladhima hatua za kinidhamu zitachuliwa juu yake.

Shida ya watu humu JF ni wanaongea kihisia kuliko uhalisia Polisi walikuwa kwenye haki na ndo maana hata Mkuu wa Jeshi l Magereza(CGP) kamchukulia hatua mwamba Kwa kuropoka ubwabwa

Halafu kumbe ni mkaguzi msaidizi halafu nidhamu yake ndo Ile basi wafungwa kazi wanayo
 
RTO hapa kakosea kabisa, 85 km/hr alafu Bus la timu ya Magereza ilikuwa 90km/hr na kawashika, hapa busara haijatumika kabisa, huyo RTO naamini atatumbuliwa siku 1 au 2 zijazo, hao ni askari wenzake hakutakiwa kufanya hivyo.
Tatizo la nchi yetu ni double standards. Sheria hio hio inamhukumu raia ila mkuu wa polisi akiivunja panabakia kimya tu
 
Hilo ongezeko la speed ni dogo sana.. Kwenye makosa ya barabarani liko kwenye daraja la makosa madogo( minor offence) na adhabu yake ni KUONYWA kwa mdomo
 
Naaaaaam naona kila MTU atafikiwa Tu. Ni suala la Muda Tu. Hapa ni Tanzania Prisons wakiwa wamezuiliwa Iringa kwa kosa la Overspeeding, normal speed ilitakiwa iwe 80km/HR yeye kaendesha kwa 85km/HR. Wakamdaka kuanzia saa tano asubuhi Hadi jioni.

Jamaa wa Prison anapiga mkwara kuwa very soon Polisi "watawaelewa" Tu. Naam kama huna bando la mawazo angalia video hapa.
View attachment 3171523
Labda wanafikiri waliwapigia kura Upinzani.
 
Huyo RTO kafanya kazi nzuri juzi tu ilitokea ajali ya wabunge hapa.

Hao magereza wangepata ajali je.?

Tujifunze kufuata sheria maswala la sijui magereza , sijui nani na hufuati sheria iwe mwisho.
 
Ni aibu sana kuona.jeshi kwa jeshi wanasumbuana kiasi hiki - tena wizara moja.Lkn huu ni ushindi kwa wapenda haki - huu ni mpango wa Mungu - It means hata wenzao wameanza kuona jinsi polisi wanavyozingua na kufanyakazi bila ufanisi.
Zaidi ni visasi na hisia..kwa nini wasiwapige fine kama sheria inavyosema na wakaendelea na safari yao??
Polisi ni kama bomu - ipo siku litalipuka tu...
Inasemekana walikuwa wanasimamishwa post nyingi na hawasimami. Naona iringa waliwaweza
 
Huyo RTO kafanya kazi nzuri juzi tu ilitokea ajali ya wabunge hapa.

Hao magereza wangepata ajali je.?

Tujifunze kufuata sheria maswala la sijui magereza , sijui nani na hufuati sheria iwe mwisho.
Huyo RTO atakupa ze RPC muda c mrefu
 
Hapo wangekuwa sasa ni JWTZ wanapita na gari yao! Polisi wasingethubutu kabisa, wangekaa mbali kabisa!
Huwa tena najiuliza hivi yale Magari ya Ikulu yakiwa kwenye msafara wa Viongozi wa nchi yanavyokimbizwa huwa Trafic wanaweza kuthubutu kuyasimamisha?
 
RTO hapa kakosea kabisa, 85 km/hr alafu Bus la timu ya Magereza ilikuwa 90km/hr na kawashika, hapa busara haijatumika kabisa, huyo RTO naamini atatumbuliwa siku 1 au 2 zijazo, hao ni askari wenzake hakutakiwa kufanya hivyo.
Wamevunja Sheria lazima wawajibishwe.
 
Kikosi Maalum Cha Kutuliza Ghasia Magerezani (KMKGM) vs (FFU) Fanya Fujo Uone Field Force Unit

Tujue nani mwamba Magereza vs Polisi kupitia vikosi vyao maalum KMKGM vs FFU
Draw. Majeruhi sawa pande zote.
 
Back
Top Bottom