Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Polisi tamaa na rushwa zinawaharibu snOfcoz magereza mafunzo yao yamejikita zaidi kwenye ukakamavu na kuwarekebisha wahalifu kuwa raia wema kwenye jamii ndio maana nchi za wenzetu including Zanzibar wanaita chuo cha mafunzo sio magereza maana wamebase zaidi kwenye rehabilitation even marekani wanaita Correction facility. Polisi ni mwehu tu mafunzo yao mazuri lakini hawayatilii maanani wanahisi yale mafunzo ya ukakamavu yamelenga uhuni tu. Ni wahuni wahuni tu.