Polisi na NEC waanza kuhofia barua za Amsterdam & Partners LLP?

Polisi na NEC waanza kuhofia barua za Amsterdam & Partners LLP?

Mnachekesha, sisi ni nchi huru, tunajiamlia mambo yetu. Wazungu wajanja hapo hiyo gharama imeahidiwa kulipwa kwa mikataba minono ya upendeleo atakayo itoa lisu pindi akiwa rais (kitu ambacho hawezi kuwa rais maana watamuua akishindwa urais).

Endeleza ujinga wa nchi huru kwenye haki za raia.
 
Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa barua kutoka kampuni binafsi ya Amsterdam & Partners LLP, walioingia mkataba na mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu kumsaidia masuala yake ya kisheria, kiusalama na ulinzi wa haki zake...
mzee wangu sirro yuko sahii , mda umefika kila mtu abebe mzigo wake ,hata hivyo katika mkutano wa tume alitoa baadhi ya ushauri mzuri wakati akielezea changamoto ambazo huweza kua chanzo cha vurugu ikiwa ni pamoja na kuhesabu kura usiku , kuchelewesha mabox ya kura vituon, n,k , na alisisitiza vyombo vya ulinzi , wanasiasa, tume, kila mtu kutimiza wajibu wake.

Ata mimi nishauri tena vyombo vya ulinzi , tume na vyama vya siasa mkutane tena na tena kuweka makubaliano au maridhiano kuelekea uchaguzi hasa katika kuangalia njia sahii ya uesabuji , upigaji wa kura kwenye vituo kwa uwazi yasio leta manunguniko, kutoa au kuja na wazo moja kwa jinsi gani vyama vitajihakikisha kura zao zipo salama, upigaji wa kura kusitishwa mapema ili kura zisihesabike usiku,
mawakala wa vyama kutowekewa vikwazo na wasimamizi wa vituo.

Kwa ujumla mhakikishe vile vitu vidogo dogo ambavyo huweza kua chanzo cha fujo mvikomeshe bas
 
Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa barua kutoka kampuni binafsi ya Amsterdam & Partners LLP, walioingia mkataba na mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu kumsaidia masuala yake ya kisheria, kiusalama na ulinzi wa haki zake...
😅😅mkuu hapo kwenye "Personally" "individually" ccm haiwezi kuwasaidia.

Utakuwa na roho ya chuma kama huwezi kuogopa.

Ukumbuke hiyo kampuni kijasusi haijambo. Wataalam wa maswala ya intelijensia wanaijua vizuri.

Kila la Kheri TAL
 
Jeshi la police halitishwi kwa style hiyo.
Ukifikia hapo huna jeshi vunja anza upya.
Taasisi za nje hazina nguvu hiyo. Zina mipaka yake.
Ulinzi ndani ya nchi hauingiliwi bali hushauriwa .
Kama wamefikia hapo basi tunayo kila sababu ya kuwaita terrorist group .
Hahaha terrorism unaijua maana yake au umeongea tu na wewe uonekane??
 
mzee wangu sirro yuko sahii , mda umefika kila mtu abebe mzigo wake ,hata hivyo katika mkutano wa tume alitoa baadhi ya ushauri mzuri wakati akielezea changamoto ambazo huweza kua chanzo cha vurugu ikiwa ni pamoja na kuhesabu kura usiku , kuchelewesha mabox ya kura vituon, n,k , na alisisitiza vyombo vya ulinzi , wanasiasa, tume, kila mtu kutimiza wajibu wake...
Pale ndipo nilimkubali Sirro. Kifupi Siro kashausoma mchezo. Aliwambia NEC wawe makini wasiwe sababu ya fujo.

Napendekeza pia wakutane tena. Mambo ya kuchelewesha mabox, kuhesbu kura usiku. Kufukuza mawakala n.k ni sababu moja wapo.
 
Mnachekesha, sisi ni nchi huru, tunajiamlia mambo yetu. Wazungu wajanja hapo hiyo gharama imeahidiwa kulipwa kwa mikataba minono ya upendeleo atakayo itoa lisu pindi akiwa rais (kitu ambacho hawezi kuwa rais maana watamuua akishindwa urais).

Hizi matango pori zako hazina bei kwa sasa.....Jenga hoja dada
 
Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa barua kutoka kampuni binafsi ya Amsterdam & Partners LLP, walioingia mkataba na mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu kumsaidia masuala yake ya kisheria, kiusalama na ulinzi wa haki zake...
Kumbe mna mkataba na Amsterdam! Chadema wajinga Sana.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Pale ndipo nilimkubali Sirro. Kifupi Siro kashausoma mchezo. Aliwambia NEC wawe makini wasiwe sababu ya fujo.

Napendekeza pia wakutane tena. Mambo ya kuchelewesha mabox, kuhesbu kura usiku. Kufukuza mawakala n.k ni sababu moja wapo.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewaagiza wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo ya Kilombero, Kibamba, Kigamboni na Mbagala kuwatambua na kuwapa fomu wagombea halali walioteuliwa na Chadema.
 
Quinine,

Si dhani kama ni kweli wana hofu,kwani hao civil servants hawana mpango wa kusafiri kwenda nchi za nje(Nje ya Africa).Maana huko ndiko watakapokamatiwa na kuwekwa kizuizini kama wale walivyofanya kwenye ile Airbus na bombadeer.

Ila kama wanampango wa kwenda nje ya nchi inabidi wajiheshimu maana usije sikia IGP Siro anashikiliwa huko ughaibuni kwa kosa la kukiuka haki za kibinadamu.

Halafu tukaaanza kutuma wanasheria wetu kwenda kumuwekea bondi

Wanaweza kumualika kwenye mkutano halafu akawa arested huko huko
 
Majibu ya uhakika yatapatikana siku ya matokeo ya uchaguzi mkuu, kwa ngazi zote za Urais, Ubunge, na Udiwani, ila kwa dalili hizi naona atleast polisi wame respond positively.
Sirro kwa kutumwa au kwa kujituma anaamini Chadema ndio wanaochoma ofisi zao
 
Wamekumbushwa wajibu wao na wameanza kutekeleza. Wewe ulitaka wakaidi?? Ni jambo la kuwapa pongezi kwa usikivu na kufanyia kazi maoni ya wadau. Tuache ushabiki kwenye maswala ya msingi.
 
Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa barua kutoka kampuni binafsi ya Amsterdam & Partners LLP, walioingia mkataba na mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu kumsaidia masuala yake ya kisheria, kiusalama na ulinzi wa haki zake.

Moja ya sehemu ya barua yao waliyoliandikia Jeshi la polisi inasema,

"By this letter, we notify you (Tanzania Police) our intention to hold accountable all public servant of the government of Tanzania individually... " Robert Amsterdam.

Vile vile waliiandikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa,

“It is our intent to hold the members of the NEC personally accountable”, Robert Amsterdam.

Jana Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amewataka makamanda wa jeshi hilo kuja na majibu ya nguvu kwa mikoa iliyo anza kufanya vurugu kwenye misafara ya wanasiasa ikiwemo kurusha mawe na wale waliohusika kuchoma ofisi za vyama vya siasa.

"...mtu yeyote wa ovyo ovyo atakaejihusisha na uchomaji wa ofisi au kujihusisha na vurugu tutamshughulikia vizuri" IGP Sirro.

Je, hizi zinaweza kuwa dalili kwa jeshi la polisi kuanza kubadilika au ni kwa sababu ya vitisho vya barua za Robert Amsterdam?
Hawa WAHUNI siku wakianza kuhudhuria kwenye Mahakama ya Kimataifa nadhani ndio tutaanza kwenda sawa na kuheshimiana, wamecheleweshwa mno.
 
Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa barua kutoka kampuni binafsi ya Amsterdam & Partners LLP, walioingia mkataba na mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu kumsaidia masuala yake ya kisheria, kiusalama na ulinzi wa haki zake.

Moja ya sehemu ya barua yao waliyoliandikia Jeshi la polisi inasema,

"By this letter, we notify you (Tanzania Police) our intention to hold accountable all public servant of the government of Tanzania individually... " Robert Amsterdam.

Vile vile waliiandikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa,

“It is our intent to hold the members of the NEC personally accountable”, Robert Amsterdam.

Jana Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amewataka makamanda wa jeshi hilo kuja na majibu ya nguvu kwa mikoa iliyo anza kufanya vurugu kwenye misafara ya wanasiasa ikiwemo kurusha mawe na wale waliohusika kuchoma ofisi za vyama vya siasa.

"...mtu yeyote wa ovyo ovyo atakaejihusisha na uchomaji wa ofisi au kujihusisha na vurugu tutamshughulikia vizuri" IGP Sirro.

Je, hizi zinaweza kuwa dalili kwa jeshi la polisi kuanza kubadilika au ni kwa sababu ya vitisho vya barua za Robert Amsterdam?
We gebwe kweli hivi hao LLP ndio nani hasa humu nchini?? Hii ni nchi huru, mtu anavunja sheria na kujiona yeye ni bora kuliko wagombea wengine, anawatukana, anaanza kampeni mapema halafu mnatutishia barua ya kikampuni cha mabeberu!! hatutishiki, wasitufokee
 
Kuwa nchi huru hakukupi haki ya kuwafanyia vurugu wengine, huu ni utetezi wa kishamba.
Hao Amsterdam ni sawa na wapiga debe tu, wanajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe, wanamdanganya Lissu kwamba watamsaidia ashinde as if wao ndio wapiga kura!!! ujinga mtupu, watashangaa sasa hawawajui watanzania wamuulize Mange
 
Back
Top Bottom