Mnachekesha, sisi ni nchi huru, tunajiamlia mambo yetu. Wazungu wajanja hapo hiyo gharama imeahidiwa kulipwa kwa mikataba minono ya upendeleo atakayo itoa lisu pindi akiwa rais (kitu ambacho hawezi kuwa rais maana watamuua akishindwa urais).
Kuwa nchi huru hakukupi haki ya kuwafanyia vurugu wengine, huu ni utetezi wa kishamba.
mzee wangu sirro yuko sahii , mda umefika kila mtu abebe mzigo wake ,hata hivyo katika mkutano wa tume alitoa baadhi ya ushauri mzuri wakati akielezea changamoto ambazo huweza kua chanzo cha vurugu ikiwa ni pamoja na kuhesabu kura usiku , kuchelewesha mabox ya kura vituon, n,k , na alisisitiza vyombo vya ulinzi , wanasiasa, tume, kila mtu kutimiza wajibu wake.Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa barua kutoka kampuni binafsi ya Amsterdam & Partners LLP, walioingia mkataba na mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu kumsaidia masuala yake ya kisheria, kiusalama na ulinzi wa haki zake...
😅😅mkuu hapo kwenye "Personally" "individually" ccm haiwezi kuwasaidia.Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa barua kutoka kampuni binafsi ya Amsterdam & Partners LLP, walioingia mkataba na mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu kumsaidia masuala yake ya kisheria, kiusalama na ulinzi wa haki zake...
Hahaha terrorism unaijua maana yake au umeongea tu na wewe uonekane??Jeshi la police halitishwi kwa style hiyo.
Ukifikia hapo huna jeshi vunja anza upya.
Taasisi za nje hazina nguvu hiyo. Zina mipaka yake.
Ulinzi ndani ya nchi hauingiliwi bali hushauriwa .
Kama wamefikia hapo basi tunayo kila sababu ya kuwaita terrorist group .
Pale ndipo nilimkubali Sirro. Kifupi Siro kashausoma mchezo. Aliwambia NEC wawe makini wasiwe sababu ya fujo.mzee wangu sirro yuko sahii , mda umefika kila mtu abebe mzigo wake ,hata hivyo katika mkutano wa tume alitoa baadhi ya ushauri mzuri wakati akielezea changamoto ambazo huweza kua chanzo cha vurugu ikiwa ni pamoja na kuhesabu kura usiku , kuchelewesha mabox ya kura vituon, n,k , na alisisitiza vyombo vya ulinzi , wanasiasa, tume, kila mtu kutimiza wajibu wake...
Mnachekesha, sisi ni nchi huru, tunajiamlia mambo yetu. Wazungu wajanja hapo hiyo gharama imeahidiwa kulipwa kwa mikataba minono ya upendeleo atakayo itoa lisu pindi akiwa rais (kitu ambacho hawezi kuwa rais maana watamuua akishindwa urais).
Kumbe mna mkataba na Amsterdam! Chadema wajinga Sana.Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa barua kutoka kampuni binafsi ya Amsterdam & Partners LLP, walioingia mkataba na mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu kumsaidia masuala yake ya kisheria, kiusalama na ulinzi wa haki zake...
Si mlitegemea muwaibie kura alafu muwapige na polisi. Sasa safari hii mmepetewa dude hilo. Jichanganyeni muone mwisho wenu unavyokuwaKumbe mna mkataba na Amsterdam! Chadema wajinga Sana.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewaagiza wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo ya Kilombero, Kibamba, Kigamboni na Mbagala kuwatambua na kuwapa fomu wagombea halali walioteuliwa na Chadema.Pale ndipo nilimkubali Sirro. Kifupi Siro kashausoma mchezo. Aliwambia NEC wawe makini wasiwe sababu ya fujo.
Napendekeza pia wakutane tena. Mambo ya kuchelewesha mabox, kuhesbu kura usiku. Kufukuza mawakala n.k ni sababu moja wapo.
Sahau tulishajitoa kitambo
Sirro kwa kutumwa au kwa kujituma anaamini Chadema ndio wanaochoma ofisi zaoMajibu ya uhakika yatapatikana siku ya matokeo ya uchaguzi mkuu, kwa ngazi zote za Urais, Ubunge, na Udiwani, ila kwa dalili hizi naona atleast polisi wame respond positively.
Kuna tatizo kichwani mwako maana akili timamu haiwez andika mzaha huu!Huu no mtego kwa Chadema maana ndio walioigizackurushiana mawe na kuchoma polisu
waweza kuichukua bila shidaMkuu naiomba avatar yako.
Hawa WAHUNI siku wakianza kuhudhuria kwenye Mahakama ya Kimataifa nadhani ndio tutaanza kwenda sawa na kuheshimiana, wamecheleweshwa mno.Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa barua kutoka kampuni binafsi ya Amsterdam & Partners LLP, walioingia mkataba na mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu kumsaidia masuala yake ya kisheria, kiusalama na ulinzi wa haki zake.
Moja ya sehemu ya barua yao waliyoliandikia Jeshi la polisi inasema,
"By this letter, we notify you (Tanzania Police) our intention to hold accountable all public servant of the government of Tanzania individually... " Robert Amsterdam.
Vile vile waliiandikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa,
“It is our intent to hold the members of the NEC personally accountable”, Robert Amsterdam.
Jana Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amewataka makamanda wa jeshi hilo kuja na majibu ya nguvu kwa mikoa iliyo anza kufanya vurugu kwenye misafara ya wanasiasa ikiwemo kurusha mawe na wale waliohusika kuchoma ofisi za vyama vya siasa.
"...mtu yeyote wa ovyo ovyo atakaejihusisha na uchomaji wa ofisi au kujihusisha na vurugu tutamshughulikia vizuri" IGP Sirro.
Je, hizi zinaweza kuwa dalili kwa jeshi la polisi kuanza kubadilika au ni kwa sababu ya vitisho vya barua za Robert Amsterdam?
We gebwe kweli hivi hao LLP ndio nani hasa humu nchini?? Hii ni nchi huru, mtu anavunja sheria na kujiona yeye ni bora kuliko wagombea wengine, anawatukana, anaanza kampeni mapema halafu mnatutishia barua ya kikampuni cha mabeberu!! hatutishiki, wasitufokeeHivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa barua kutoka kampuni binafsi ya Amsterdam & Partners LLP, walioingia mkataba na mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu kumsaidia masuala yake ya kisheria, kiusalama na ulinzi wa haki zake.
Moja ya sehemu ya barua yao waliyoliandikia Jeshi la polisi inasema,
"By this letter, we notify you (Tanzania Police) our intention to hold accountable all public servant of the government of Tanzania individually... " Robert Amsterdam.
Vile vile waliiandikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kuwa,
“It is our intent to hold the members of the NEC personally accountable”, Robert Amsterdam.
Jana Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amewataka makamanda wa jeshi hilo kuja na majibu ya nguvu kwa mikoa iliyo anza kufanya vurugu kwenye misafara ya wanasiasa ikiwemo kurusha mawe na wale waliohusika kuchoma ofisi za vyama vya siasa.
"...mtu yeyote wa ovyo ovyo atakaejihusisha na uchomaji wa ofisi au kujihusisha na vurugu tutamshughulikia vizuri" IGP Sirro.
Je, hizi zinaweza kuwa dalili kwa jeshi la polisi kuanza kubadilika au ni kwa sababu ya vitisho vya barua za Robert Amsterdam?
Hao Amsterdam ni sawa na wapiga debe tu, wanajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe, wanamdanganya Lissu kwamba watamsaidia ashinde as if wao ndio wapiga kura!!! ujinga mtupu, watashangaa sasa hawawajui watanzania wamuulize MangeKuwa nchi huru hakukupi haki ya kuwafanyia vurugu wengine, huu ni utetezi wa kishamba.