Polisi na NEC waanza kuhofia barua za Amsterdam & Partners LLP?

AKILI NA UWEZO WAKO NDO UMEFIKIA MWISHO WALA TUSIKULAUMU
 
Hao Amsterdam ni sawa na wapiga debe tu, wanajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe, wanamdanganya Lissu kwamba watamsaidia ashinde as if wao ndio wapiga kura!!! ujinga mtupu, watashangaa sasa hawawajui watanzania wamuulize Mange
WEWE HUJAZUNGUKA HEBU JARIBU KUZUNGUKA TANZANIA HUONE WATU WANACHUKIA HUU UTAWALA, TAMBUA KWAMBA SIKU HAZIFANANI KAMWE JUMATATU YA WIKI HII NI TOFAUTI NA JUMATATU YA WIKI ILIYOISHA.UCHAGUZI WA 2015 NI TOFAUTI NA 2020 AU MNADHANI KILA JOGOO AKIWIKA NI ASUBUHI.
 
Hawa wapuuzi wengine tumewachana LIVE na wameshindwa kujibu hoja, wajinga wachache wanaoshikiliwa akili zao ndio hao, na huu mwaka mpuuzi Trump hachomoki.
 
Hakuna hata baya moja litakalotokea,na kwa taarifa yako Huyu mgombea wenu mnayempigia chepuo aliyekuwa ameolewa ubeligiji lazima aenguliwe,na wala hakutakuwa na vurugu kama udhaniavyo
 
Shida yenu hamsomi mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania ni mwanachama,pia kama ulikimbia somo la historia advance basi mambo kama haya huwezi kuyajua ,nchi huru zimewahi kuambiwa walipe fidia kwa hasara ya vita wakagoma vita ikaanza upya
 
“It is our intent to hold the members of the NEC personally accountable”, Robert Amsterdam.

Hiki kipengele kitaibana tume kutaka kumuengua mtu siku ya tarehe 25-08-2020 kwa shinikizo la wasiojulikana, ili kutaka kumfurahisha yule mwenye kujulikana.
 
Shida yenu hamsomi mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania ni mwanachama,pia kama ulikimbia somo la historia advance basi mambo kama haya huwezi kuyajua ,nchi huru zimewahi kuambiwa walipe fidia kwa hasara ya vita wakagoma vita ikaanza upya
Advance History uliyosoma imekuandaa sana kiakili kuwa mtumwa wa Mataifa makubwa.
Hupishani na chief mangungo, tofauti wewe unajua kusoma na kuandika
 
Baada ya barua hizo Siro kapiga uturn vitidho vyake kwa Lissu na raia ,kawageukia makamanda was polisi mikoa zilikounguzwa ofisi za Chadema kuvamiwa msafara anawaambia watoe maelezo ya nguvu , watatapika ndoano mwaka huu.
 
Haijawahi kutokea na haitakaa itokee zaidi ya 2015 mlivyokua mnajaza watu na kukubalika na mkaangukia pua ndio iwe mwaka huu mnasafiria nyota ya jina moja tu la Lissu wala sio chama chenu cha machadema mtashangaa
 
Mnachekesha, sisi ni nchi huru, tunajiamlia mambo yetu. Wazungu wajanja hapo hiyo gharama imeahidiwa kulipwa kwa mikataba minono ya upendeleo atakayo itoa lisu pindi akiwa rais (kitu ambacho hawezi kuwa rais maana watamuua akishindwa urais).
Wanafikiri Tanzania ni Sacos. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Shida yenu hamsomi mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania ni mwanachama,pia kama ulikimbia somo la historia advance basi mambo kama haya huwezi kuyajua ,nchi huru zimewahi kuambiwa walipe fidia kwa hasara ya vita wakagoma vita ikaanza upya
Huyo Robert Armstadam ana mkataba gani ambao ameingia na nchi yetu?? unadhani sote hatuijui mikataba ya kimataifa? na kwanza hata nchi ikiamua kujitoa inajitoa tu, hao Marekani wamejitoa mikataba mingi tu na haiwi chochote mfano mkata wa Kyoto kupunguza uharibifu wa mazingira Marekani kagoma na haiwi chochote, maswala ya haki za akina mama uwiano sawa wa ajira kapinga na haiwi chochote sasa iwe huyu ki.m.a mweupe mmoja ndio atupangie cha kufanya humu nchini!!! Hell no!! Lissu akikiuka sheria na kanuni za uchaguzi atakatwa halafu tuone sasa atafanyaje huyo beberu wenu
 
Watanzania tunailinda amani yetu kuliko kitu kingine hao wabelgiji waambieni wapambane na COVID 19. Tanzania ni kwa watanzania wenyewe.

MAGUFULI4LIFE.
 
Kama hii serikali haikuogopa kwa namna yeyote Barrick Gold President ( ACACIA ) sijui kama kuna mtu watamuogopa. Na kinyume ya hii ni kujidanganya.
 
Mnachekesha, sisi ni nchi huru, tunajiamlia mambo yetu. Wazungu wajanja hapo hiyo gharama imeahidiwa kulipwa kwa mikataba minono ya upendeleo atakayo itoa lisu pindi akiwa rais (kitu ambacho hawezi kuwa rais maana watamuua akishindwa urais).
Toka lini masikini akawa huru
 
Majibu ya uhakika yatapatikana siku ya matokeo ya uchaguzi mkuu, kwa ngazi zote za Urais, Ubunge, na Udiwani, ila kwa dalili hizi naona atleast polisi wame respond positively.

Polisisiem huwa hawatabiriki kwasababu wanachofanya kinategemea zaidi aliyemteua IGP kaamkaje!
 
Haijawahi kutokea na haitakaa itokee zaidi ya 2015 mlivyokua mnajaza watu na kukubalika na mkaangukia pua ndio iwe mwaka huu mnasafiria nyota ya jina moja tu la Lissu wala sio chama chenu cha machadema mtashangaa
2015 mliiba kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…